Natafuta 'Life Patner'

Kila la kheri. Ila ujue kwenye msafara wa mamba na kenge huwa hawakosekani!
So be carefully!
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!
 
kila la heri shosti ukifanikiwa nidokeze uli na mimi nifanye mchakato haraka
 
Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.

Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani
Nshakosa mke hapa mbona unataka wazee..
 
Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!

Uko wapi Yo Yo pande hili la bure atakupiku Nyani Ngabu
 
Ooooh Asante Msani. Hapa kuna vitu sijabainisha.

Umri - between 35 and 40
Elimu - wastani (some colleges after secondary school)
Dini - Mkristo
Umbo - wastani
Kabila - lolote
Rangi - yoyote
urefu - cm 170+
kipato - wastani

nimetafuta muda mrefu sana angalia na leo nimekosa sifa moja tu,dah hii balaa,vipi Primm hauwezi punguza umri?au mkosi kwangu?
au na mie nisubiri umri kama huo lakini uzalendo utanishinda
 
hii inanihusu..mbona vigezo vyote ninavyo kasoro umri tu ndio nimezidi kidogo...naomba unifikirie kwa hilo
 
weka cv ya kutosha
mfano:
umri
elimu
dini
urefu
umbile(mnene au mwembamba)
kabila
rangi(mweupe au mweusi)

hatutaki majaribio maana hata wewe unatakiwa uweke vigezo vya unayemtaka

umesema vyema,weka vigezo hapa
 
nimetafuta muda mrefu sana angalia na leo nimekosa sifa moja tu,dah hii balaa,vipi Primm hauwezi punguza umri?au mkosi kwangu?
au na mie nisubiri umri kama huo lakini uzalendo utanishinda

ha ha ha, kama bado sana kuwa tu mpole Msani, wakati utafika utakapoona kuwa unalo hitaji. Naye wa kuendana nawe atapatikana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom