Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

Jul 30, 2022
17
19
Habari za kazi wakuu !!

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi hizi ninaweza kuendesha (manage) page zote kuanzia Facebook, YouTube, Instagram, Twitter kwa kuzilisha content hadi kitu kikawa kikubwa na utashangaa.

Hapa nilipo nina Channel ya YouTube tayari imefikisha vigezo vya kuanza kupokea matangazo ambayo akipatikana mtu ndiyo itakuwa source yetu namba moja ya kipato wakati tukijiestablish kwenye page zingine. Hata kama huyo partner asipohusika katika kazi mimi nitasimamia 100 kwa sababu nina passion na ndiyo kazi niliyosomea nakuhakikishia hakitaharibika kitu.

Kwa kuanzia atasaidia kununua Kamera, Laptop, MiFi kwa ajili ya Internet na Recording Kit kwa ajili ya kurekodia sauti kwa ubora, ambayo gharama yake ni around Milioni 6. Malengo yangu ni kuifikisha brand kwenye ukubwa zaidi Tanzania na nimedhamiria ila nakwama mtaji ndiyo maana natafuta mtu wa kushirikiana naye.

Mtu aliye serious na hii project anicheki kwa 0683535699 WhatsApp au piga simu!!
 
Pambana ndugu yangu...ila kiukweli YouTube hii hii ya bure kukulipa ni ngumu sana...nyuma ya YouTube Kuna YouTube nyingine...kupitia hiyo YouTube nyingine unaweza kupata pesa...ila kikubwa online channel nyingi Huwa ni kwaajili ya matangazo ya wafanya biashara let's say MO... Afungue online channel hapo hiyo channel haitomuingizia kitu Zaidi ya kupush biashara zake zizidi kufahamika... Platform za online ukiweka malengo kuwa zikuingizie pesa utakwama...tengeneza biashara Kisha tumia hizo platforms kutangazia biashara zako... Hapa Tz hakuna anae ingiza pesa eti Kwa kuapload video YouTube na YouTube wamlipe...hao YouTube wenyewe wanataka pesa
 
Kumbe we unajua YouTube ni ya bure tu?, sawa lakini fahamu kuwa mimi nimefanya hizo kazi nina uzoefu ... sehemu niliyofanyia kazi iilikuw inaingiza hadi milioni 5 kwa mwezi kupitia YouTube !!!

Soma tena jinsi gani YouTube inaweza kukuingizia kipato !!!
 
Nafurahi sana kuona Habari kama hizi kwa watu kujituma hivi
Naona Ayo mwingine hapa
I wish ningekusaidia mkuu ila tatizo sipo huko na sikujui
Kwa 6m sio nyingi ila kujuana ndio mtihani kwa hiyo I'm out
Ila nakuombe mafanikio
Asante Mkuu !! ... Naelewa suala la uaminifu muhimu ... ila mimi najua ninachokifanya na malengo niliyonayo
 
Hebu weka gharama ya kila kifaa
Hadi kufikia hiyo milioni 6
Usajili TCRA - Haipungui 1m
Kamera mpya - 1.5m - 2m
Laptop mpya - Laki 6 - laki 7
Recording kit (audio) - Laki 5
Vifaa vingine kama wireless Mike, flag mike, flash au External na camera stand - Laki 5.

Gharama za uendeshaji ( Internet router na Internet yenyewe n.k

Piga hesabu !!
 
Tcra washapunguza usajili...haizidi elfu 50
 
Usajili TCRA - Haipungui 1m
Kamera mpya - 1.5m - 2m
Laptop mpya - Laki 6 - laki 7
Recording kit (audio) - Laki 5
Vifaa vingine kama wireless Mike, flag mike, flash au External na camera stand - Laki 5.

Gharama za uendeshaji ( Internet router na Internet yenyewe n.k

Piga hesabu !!
Utaanzia kazi home ama
 
Back
Top Bottom