Mwenye upendo na kuthamini, mcheshi, elimu ya kawaidaa, awe na income ya kussurpot maisha (not tajiri), sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.
Mwenye upendo na kuthamini, mcheshi, elimu ya kawaidaa, awe na income ya kussurpot maisha (not tajiri), sichagui kabila wala rangi. Mimi ni Mkristu.
Hadi hapo nimeshamkosa mchumba,lol!
Hadi hapo nimeshamkosa mchumba,lol!
nadhani unatakiwa kumpata anayejiheshimu na kueshimu , mnayeweza kusikilizana na kuelewana ,
upendo hakuna kipimo kamili
Mbona mapema, umemkosaje tena? Kukata tamaa ni kaburi la mtafutaji, kemea!
hahahaha! Matajiri mmenyanyapaliwa.
Asante nimekupata vema
Yaani twaonewa kwa utajiri wetu...