kama ni kuchat tu kwanini awe wa dar? si hata wa tanga wanafaa?
yeye kasema wakuchat. Kama kuna mengine ayaseme wote watu wajue kabisa.dar karibu , watu wana mission zao jamani
yeye kasema wakuchat. Kama kuna mengine ayaseme wote watu wajue kabisa.
wewe ni expert? kakosea wapi?mwe.akiyawekayote hapa si mtakimbia wote, mdogo mdogo hadi ndege aingie tunduni...yeye keshasema dsm so hapo inabidi usome alama za nyakati then umtwangie e mail. nilichogundua ni kuwa huyu bado ni mgeni kwenye mambo ya mitandao
wewe ni expert? kakosea wapi?
Nimeuliza, talking from experience?kakosea kuweka e mail. wadada watakaomwandikia ni wengi atashindwa ku deal nao wote
not my experience kuna member alikuwa analalamika baada ya kuweka e mail yake.vipi unaogopa kutuma? unaweza ku test zaliNimeuliza, talking from experience?
Mi sitimizi vigezo, siishi Dar...not my experience kuna member alikuwa analalamika baada ya kuweka e mail yake.vipi unaogopa kutuma? unaweza ku test zali
Mi sitimizi vigezo, siishi Dar...
Kwa hiyo unataka kunishawishi nini hapo?kwani kakuambia huruhusiwi kucheza rafu?
Kwa hiyo unataka kunishawishi nini hapo?
Ok... still nataka kujua kwa nini alisema anatafuta girl wa kuchat wakati hizo activity anazo taja zinaonesha kua ni more than chatting. kwa nini asisemi tu kama wenzake kua anatafuta rafiki wa kike? hii si love connect?that was a joke: stop
hizi ni trick. wewe as a girl nilijua kuwa mitego yote unaijua vizuri.Ok... still nataka kujua kwa nini alisema anatafuta girl wa kuchat wakati hizo activity anazo taja zinaonesha kua ni more than chatting. kwa nini asisemi tu kama wenzake kua anatafuta rafiki wa kike? hii si love connect?
Kama kutega ni bora utege kijanja... na kama utashindwa bora uweke tu wazi, it is better. Bora tu angesema anataka girlfriend.hizi ni trick. wewe as a girl nilijua kuwa mitego yote unaijua vizuri.
offcourse yanadumu..or you think mimi na wewe hatutadumu?Kama kutega ni bora utege kijanja... na kama utashindwa bora uweke tu wazi, it is better. Bora tu angesema anataka girlfriend.
Hivi haya mapenzi ya kuanzisha online hua yanadumu?