Natafuta grl wakuchart

De Sales

Member
Jan 24, 2012
11
0
Hellow ple namsaka grl wakuchart naye kubadilisha mawazo na kujadil mambo malimbal'l ya kimaisha awe muelewa umri usyozid 23 na awe anaishi dar,ni hyo 2 anichek hapa greysonm84@gmail.com
 
kaka hapa jf kuna masista do kibao na watoto wakali kinoma. wewe weka picha yako tu haa utawapata kibao.
 
yeye kasema wakuchat. Kama kuna mengine ayaseme wote watu wajue kabisa.

mwe.akiyawekayote hapa si mtakimbia wote, mdogo mdogo hadi ndege aingie tunduni...yeye keshasema dsm so hapo inabidi usome alama za nyakati then umtwangie e mail. nilichogundua ni kuwa huyu bado ni mgeni kwenye mambo ya mitandao
 
wewe ni expert? kakosea wapi?
 
that was a joke: stop
Ok... still nataka kujua kwa nini alisema anatafuta girl wa kuchat wakati hizo activity anazo taja zinaonesha kua ni more than chatting. kwa nini asisemi tu kama wenzake kua anatafuta rafiki wa kike? hii si love connect?
 
hizi ni trick. wewe as a girl nilijua kuwa mitego yote unaijua vizuri.
 
Kama kutega ni bora utege kijanja... na kama utashindwa bora uweke tu wazi, it is better. Bora tu angesema anataka girlfriend.
Hivi haya mapenzi ya kuanzisha online hua yanadumu?
 
offcourse yanadumu..or you think mimi na wewe hatutadumu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom