Mke anatafutwa, awe anajiheshimu

supermwamba

Member
Mar 11, 2024
38
31
Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35.

Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia maendeleo ya maisha Yetu.

Asiwe mshirikina, awe nahofu ya Mungu.
Mimi ni kati ya .wafanya biashara wakubwa hapa Dar.
Umri wangu ni miaka 50. Niko Dar. Napenda kumcha Mungu.

Karibu. Ni pm.
 
Kila la la kheri katika upataji wa mke bora ila kwenye andiko lako tayari nimeona umetangaza kununua matatizo mawili makubwa.
Awe na watoto ,hapa automatically unakwenda kubeba mzigo usiokuhusu na ambao tija yake kwa kizazi hiki cha leo hutokaa uione .
Pesa ya mwanamke haijawahi kuwekea guarantee kumaliza au kuchangia kuyamudu majukumu ya ndani
.Namaliza kwa kusema kuoa kwa kizazi hiki ni ubatili tu nataman kua single ila ndio baasi tena
 
Sawa, ukipenda boga unapenda na ya lake. Kuhusu uchumi, Kila palipo na maendeleo ya mwanaume kuna mwanamke pembeni.
 
Mkuu

Usiishi kwenye Dunia ya kufikirika!!"there is green pastures up there"!!!!

Make,mwenza ,upon nao hapo hapo maxingira unayoyaishi kabisa,!!we chunguza vizuri utamwona Tena unapishana nae Kila siku!

Huku unatafuta wa kufikirika kumbe ndio hao hao!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom