Nassari: Kanisa la KKKT - Dayosisi ya Meru lina miradi ya maendeleo kuliko serikali

Ni kweli nyie Chadema mnaunga mkono Kanisa la Meru lina miradi mingi kuzidi Serikali ya Tanzania?


serikali ina miradi gani zaidi ya ile ya wizi wa rada, symbion, ricmond, meremeta na pesa za michango ya watumishi wake kule NSSF, LAPF, PPF na kwingineko?
 
Huyu dogo kina Mbowe wasipokuwa makini ndio atakayeizamisha Chadema sasa sijui kama anafahamu hiyo miradi ya Kanisa fedha nyingi zinatoka serikalini.

Kwa hiyo sera ya serikali ni kuwa na miradi kupitia kanisa??

Serikali haina nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi, na walipoona taasisi za dini zinafanya hivyo wakaamua kuchangia uendeshaji ili kuboresha. lakini serikali haihusiki na uanzishwaji (nikimaanisha haiombi taasisi za dini zifanye kitu fulani) ila taasisi huwashirikisha serikali na serikali kuangaliwa wapi wanaweza kuchangia. mawazo yanaanzia kwenye taasisi na sio serikalini.

hoja na nasari ni kushangazwa na serikali ili hali ndio baba.
 
Huyu dogo kina Mbowe wasipokuwa makini ndio atakayeizamisha Chadema sasa sijui kama anafahamu hiyo miradi ya Kanisa fedha nyingi zinatoka serikalini.

Kamanda upo , hili lijadiliwe kwenye gazeti la Mzalendo Jumapili............ama mpe mwana wa Athuman au Kibanga afe nalo
 
Kuna Askofu mmoja amesema kuwa kama Lowassa asipokuwa Rais basi auwawe, fikiria angesema MANENO HAYO NA KUIHUSISHA CDM nini kingejadiliwa ........nafikirisha tuu ubongo
 
Huyu dogo kina Mbowe wasipokuwa makini ndio atakayeizamisha Chadema sasa sijui kama anafahamu hiyo miradi ya Kanisa fedha nyingi zinatoka serikalini.

Nape angeshajitapa kua ni za serikali, ila kwa kua ni za kwao kakaa kimya.
 
Aiseeee baba yangu hata kanisa letu hapa rombo la mengwe linamiradi kuliko serekali
 
Aiseeee baba yangu hata kanisa letu hapa rombo la mengwe linamiradi kuliko serekali

ngoja nikampe pongezi paroko
 
Dar wakiristo wengi sana hata mbunge wangu Halima Mdee ni Mkiristo John Mnyika Mkiristo lakini hata siku moja hujawasikia wanakwenda Kanisani kushukuru kwa Baba Askofu kwa kuchaguliwa kuwa wabunge...huyu kijana yeye kila siku anatoa pongezi Kanisani kwa Baba Askofu, ndio maana tunauliza Arumeru hakuna Waislam hata kidogo waliomchagua Nassari.

Majority rules, hata hivyo hakutaja kuwashikuru wakristu peke yao. Hizo ni shikrani za jumla. Hata kama huna akili usitake kutuonyesha kua huna akili kweli.
 
Wakuu mnaonaje tukiacha kuchepukia hizi mada zisizokuwa na tija na kurejea kwenye masuala muhimu ya kitaifa. Hizi kauli za kujifurahisha za dogo Nassari hazitakiwi kutumia rasilimali zetu nzito za kufikiri kiasi hiki. Ni kauli za kishabiki tu zisizokuwa hata na vigezo muafaka vya kupimia.
 
Back
Top Bottom