Nassari: Kanisa la KKKT - Dayosisi ya Meru lina miradi ya maendeleo kuliko serikali

Nchi ya viongozi dhalimu mafisadi,walafi wa mali za watz,maendeleo yatatoka wapi? Wanajali mijitumbo yao tu na mijitoto yao? Iposiku utajiri wetu utarudi mikononi mwetu tusichoke kudai haki zetu hadi kieleweke 2015.
 
Haya makanisa yanajivunjia heshima kuwaruhusu hawa wanasiasa uchwara kuhutubia, mtu kama nasari unamsimamisha kanisani aongee? Ni aibu kubwa.
 
Kwa mwanasiasa kuzungumzia haya nadhani kijana amevuka daraja... Inabidi nasi wafuasi kuanza kujipima upya..
 
Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Kanisa la Kiinjili kilutheri yadayosisi ya Meru, j2 ibadani, amelimwagia sifa Kanisa hilo kwa kuwa na miradi mingi kuliko ya serikali, hapa alikuwa anazungumzia suala la Afya na elimu. Pia amesema amefungua taasisi amabayo kuanzia mwakani januari itaanza kusomesha vijana 400 na kuendeleza miradi ya wana Meru. kisha Askofu Akyoo amemtaka kuanza harakati za kutafuta Mchumba, ombi amabalo amesema amelianza, wamuombee Mungu afanikishe, lakini pia aombewe kwani kwenye siasa kuna vita mbaya ya kimwili na kiroho pia.
 
Kama nimemuelewa vizuri Nassari anaongelea Meru, kwamba kwenye eneo la Meru KKKT ina miradi mingi ya maendeleo kuliko serikali which is very likely. All in all hii issue on the 'edge'.

Usipindishe ukweli huyu Dogo anaitia CHADEMA kitanzini najua Mbowe atakuja kusawazisha hizi kauli zake za kukurupuka
 
udini at work..juzi Dhaifu alipoandaa futari kwa wazee 'walafi' wanyatiaji wa uji na wasiojiweza dar..dar hakuna wakristo?

Dar wakiristo wengi sana hata mbunge wangu Halima Mdee ni Mkiristo John Mnyika Mkiristo lakini hata siku moja hujawasikia wanakwenda Kanisani kushukuru kwa Baba Askofu kwa kuchaguliwa kuwa wabunge...huyu kijana yeye kila siku anatoa pongezi Kanisani kwa Baba Askofu, ndio maana tunauliza Arumeru hakuna Waislam hata kidogo waliomchagua Nassari.
 
Miradi ya KKKT ni mingi kuliko ya serikali????? Huyu mtoto anajua achokiongea???

Naona keshawafanya waluther wote na watanzania kwa ujumla ni wendawazimu! Hata kama ni kuwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa, hii imezidi. Siamini kama waluther watakuwa wajinga kiasi cha kuyasikiliza hayo maneno ya Nasari.

Kwa kumsaidia tu Nasari, akajifunze kuhusu serikali na kazi za serikali. Naona huo ubunge na elimu ya uraia na siasa aliyoipata havijamsaidia hata kidogo!
 
Samahani mkuu naomba kuuliza hivi Leo ni chungu cha ngapi vile? Ili niandae ndizi zangu tayari kwa sikukuu
 
Watu wana Jazba ila huo ndio ukweli.Meru in miradi mingi sana iliyoanzishwa na wao wenyewe na kanisa.Sasa badala ya maturi serikali ijiulize inapokwenda kule kama ina uhalali wa kulilia Kura.Hayo pia yanaonekana mkoa wa Kilimanjaro, na Bukoba.makanisa ndio yamegawana kujenga mahospitali, shule, zahanati, miradi ya ng`ombe na mbuzi wa maziwa, etc.Muulize waziri yoyote hali halisi ya Hospital Yao Mawenzi, sijui kama bado ndesa anatoa hela mfukoni kupeleka magodoro na ambulace kwa ajili ya wazazi.maa ya mwisho kutembelea mkoa niliona kama vile pamehamwa.

Ukweli ni huo M4C wakipiga mziki mmoja kule nadhani akina mangi wataitikia kwa kuifuta na kulaani watoto wao kutoingiza CCM katika boma zao.Na hii si ajabu kwani kuna wazee walikata kahawa na kulaani kuwa zisiingie tena katika ardhi zao.Nadhani watoto wa vigogo hawajui hilo kama wanavyoamini kuwa wao ndio future leaders.Sijui wasukuma wakipiga hivyo katika pamba,kusini na bukoba wakipiga hivyo kuhusus kawaha,kusini mashariki na pwani nao wakipiga chini korosho sijui serikalia itaahidi nini?
 
Nchi ya viongozi dhalimu mafisadi,walafi wa mali za watz,maendeleo yatatoka wapi? Wanajali mijitumbo yao tu na mijitoto yao? Iposiku utajiri wetu utarudi mikononi mwetu tusichoke kudai haki zetu hadi kieleweke 2015.

Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kugharamikia miradi ya kanisa
 
Kama nimemuelewa vizuri Nassari anaongelea Meru, kwamba kwenye eneo la Meru KKKT ina miradi mingi ya maendeleo kuliko serikali which is very likely. All in all hii issue on the 'edge'.

Its clear kwamba dogo janja alikuwa anazungumzia eneo la Meru. tatizo siku hizi ushabiki umetawala kwenye mambo ya siasa kiasi kwamba hakuna room tena ya kujadili mambo ya msingi. Kutokana na experience yangu ndogo ya maeneo ya Meru, dogo janja anaweza kuwa amesema ukweli kabisa, kwahiyo kinachotakiwa kujadiliwa ni kwanini serikali ishindwe kuwa na miradi ya maendeleo pamoja na kukusanya kodi kubwa toka kwa wananchi wakati kanisa linalotegemea sadaka na misaada limeweza? huu ushabiki unaotawala mijadala yetu unawapa viongozi loop hole ya kufanya uzembe unnoticed.
 
Sehemu nyingi tu makanisa yana miradi mingi na mikubwa kuliko serikali. Hoja siyo kubezana au kusifiana bali hiyo ndiyo hali halisi.
 
Miradi ya KKKT ni mingi kuliko ya serikali????? Huyu mtoto anajua achokiongea???

Naona keshawafanya waluther wote na watanzania kwa ujumla ni wendawazimu! Hata kama ni kuwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa, hii imezidi. Siamini kama waluther watakuwa wajinga kiasi cha kuyasikiliza hayo maneno ya Nasari.

Kwa kumsaidia tu Nasari, akajifunze kuhusu serikali na kazi za serikali. Naona huo ubunge na elimu ya uraia na siasa aliyoipata havijamsaidia hata kidogo!
amezungumzia jimboni mwake

vile vile ukumbuke definition ya miradi as compared to government day to day activities. miradi ina timelines
 
amezungumzia jimboni mwake

vile vile ukumbuke definition ya miradi as compared to government day to day activities. miradi ina timelines
Sijakuambia unipe def ya projects, ningekuona wa maana kama ungeelezea pia aina za miradi!! Hapa tunaongelea miradi ya KKKT Arumeru vs GVT projects.

Unaelewa kila mahali ulipo kuna mradi wa serikali? Unaelewa miradi ya serikali inatumia kiasi gani cha fedha compared na hiyo ya KKKT? Unaelewa continuity or time limit ya gvt projects na hiyo ya KKKT?

Kumbuka pia TZ hii wenye projects nyingi ni wakatoliki kutokana na favour ya Nyerere but sijawahi kuwaona au sidhani kama walishawahi kufikiri kuwa wana miradi mingi kuliko serikali!

Huyu Nasar naona anapannda mbegu chafu ya udini ndani ya wananchi wa jimboni kwake, kwa kuwasifia waluther ambao wapo chini kabisa kimaendeleo compared na wakatoliki!
 
Back
Top Bottom