TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
Sijakuambia unipe def ya projects, ningekuona wa maana kama ungeelezea pia aina za miradi!! Hapa tunaongelea miradi ya KKKT Arumeru vs GVT projects.
Unaelewa kila mahali ulipo kuna mradi wa serikali? Unaelewa miradi ya serikali inatumia kiasi gani cha fedha compared na hiyo ya KKKT? Unaelewa continuity or time limit ya gvt projects na hiyo ya KKKT?
Kumbuka pia TZ hii wenye projects nyingi ni wakatoliki kutokana na favour ya Nyerere but sijawahi kuwaona au sidhani kama walishawahi kufikiri kuwa wana miradi mingi kuliko serikali!
Huyu Nasar naona anapannda mbegu chafu ya udini ndani ya wananchi wa jimboni kwake, kwa kuwasifia waluther ambao wapo chini kabisa kimaendeleo compared na wakatoliki!
kumbe wewe ni mbumbumbu kuliko nilivyodhani... Arumeru ni predominantly Lutheran, kwahiyo tegemea miradi mikubwa ya FBO kuwa ya walutheri, kama ulitaka kuleta ukatoliki basi hapa umenoa, kuna maeneo yake kwa mfano Kibosho, peramiho, nk.
Kuhusu kupanda mbegu ya udini ulichoongea hapo ni zaidi ya uchafu... Nasari ametoa alter kwa serikali, kwani arumeru kuna miradi ya afya, elimu, kilimo, biashara nk ambayo ningi iko chini ya asasi zisizo za kiserikali (majority zinahusiasa na ELCT)
Anyway, kubishana na na wewe ni kupoteza muda tu
Ushauri wa bure: tafuta council plan ya wilaya, angalia mipango na utekelezaji, cheki miradi na ufadhili wake.... ukimaliza rudi kaangalie yanayotendeka kweli cs. yaliyoandikwa na pia ujaribu kuchanganua ni miradi mingapi ya hapo haiko kwenye vitabu vya wilaya, then utafaidika kwa kuelewa kauli ya nasari yaweza kuwa valid au ni chochezi kwa utawala bora kuvalidate their level of engagement kwenye miradi ya meandeleo na huduma kwa jamii'
mambaff