Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?


  • Total voters
    229
  • Poll closed .
Hii dalili mbaya kwa mnyika nipo hapa kumbukeni maneno yangu Mnyika ni one term member of parliament
 
Nape kama ni jembe basi ni la mkono. Mnyika hapimiki, ni sawa na kulinganisha kichuguu na mlima. Yeye eendelee tu kubwabwaja na kupaka calorite .
 
[COLOR=#ff0000 said:
Kageuka[/COLOR];4476806]Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu
Hata akili yako inasadifu jina lako maana wewe ni kigeugeu kageuka..hilo jembe ulilotaja linalima sehemu gani ya mwili wako?
tshshhssss......
Yaano unafananisha NEPI na MNYIKA? Akili za kuambiwa changanya na za kwako-JK feki
 
Unampambanishaje Nape na JJ Mnyika? thats an insult to JJ Nape anatakiwa kupambanishwa na kina Maji marefu
 
Nape alisema hawezi kujiunga na Chadema kwasababu yeye hajatokea Kaskazini.Kwa mantiki hiyo Nape ana mtazamo wa siasa za kibaguzi.

Kura kwa Mnyika
 
huwezi kumfananisha nape na mnyika, Elimu, uwezo wa kisiasa, Nape ni zaidi mara 1000, labda NAPE VS SLAA hapo kidogo tunaweza kupiga kura.

Huwezi kumlinganiasha NAPE na mtu yeyote CDM, size ya NAPE iko kule CCM akina Hawa Ng'umbi na Shamsa mwangunga.
 
Vitu vingine havilinganishwi. Ni sawa na kuilinganisha tanzania na marekani. mnyika ni mmarekani wkt nape ni.......yuko chini sana kiviwango.
nape afananishwe na kina mwigulu au lusinde
 
huwezi kumfananisha nape na mnyika, Elimu, uwezo wa kisiasa, Nape ni zaidi mara 1000, labda NAPE VS SLAA hapo kidogo tunaweza kupiga kura.....

Aliyekuloga uwe na kichaa amekufa hivyo hutapona tena. Pole sana ndugu yangu.
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu

Huu ndo uwezo wa wana CCM wa Kuwaza! Alafu kaachwa tu wala hajagongwa ban. Mimi binafsi inanisononesha sana sana kuona huyu bado yupo anadunda humu JF
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu

Always nguvu ya umma ni sauti ya Mungu,matusi yako yanafunua upeo wa chama chenu,shtuka kabla hujakumbwa na mafuriko ya wananchi waitafutao haki usiku na mchana kupitia M4C,
 
Back
Top Bottom