Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?


  • Total voters
    229
  • Poll closed .
Nape Jembe


Nape ukimvua nguo ya CCM ukamvalisha ya CCJ au Chadema ukumpa jimbo agombee atapoteza kwa sababu hakubaliki kihivyo kama yeye anavyohisi. kinachombeba Nape ni CCM nje ya hapo hana chake.

Mnyika anajiuza hategemei chama kupata jimbo. Siku Nape akigombea halafu wakazuia wizi wa kura hakika Nape atashindwa.
 
Ni kweli mkiacha masihara Nape ni jembe,na ameisaidia sana CCM especially kwenye kugawa kanga,vitenge,kofia na vyakula vya wenye njaa wakati wa uchaguzi wa igunga,sasa mkae kimya japo kwa kumsifia kwa hilo
 
Wanaume huwa hawa sifii kitu hivi hivi lazima wana experience nacho!

Mnyika anamegeka?acha bhana...mimi nilijua ni kamuonekano kakike tu kumbe ni hivyo?!acha masikhara mkuu!thibitisha bhana asije akapewa tongozo akarusha ngumi
 
quote_icon.png
By Kageuka
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu

Mnyika anamegeka?acha bhana...mimi nilijua ni kamuonekano kakike tu kumbe ni hivyo?!acha masikhara mkuu!thibitisha bhana asije akapewa tongozo akarusha ngumi

Nacikitika sana kama mmefikia kuyatamka haya maneno ya kilusinde.. Hamna tofauti na machokoraa.. Inaonyesha jinci gani ccm mlivyoishiwa na hoja.. Uzuri ni kwamba mmebakisha muda mchache madarakani..
 
Wewe kweli unamfananisha Nape na kitoto hicho, labda useme Slaa na Nape ndio kutakuwa na mchuano kidogo.
 
Hahahaa, Nyamizi hata huumi maneno kidogo, KHAAA!!!!!

Hiyo wanaita ngumi ya usoni - Nakubaliana na wewe kuwa Mnyika ni Present and Future wakati akina Nape ni VINTAGE.


Mkuu nawewe naona zako ni za uso!!!
 
Hivi Nape anaweza simama akaongea jambo mbele ya Mnyika....ebu tuache utani kidogo. Mnyika ni zaidi ya mbunge, ni kiongozi kweli kweli.
 
Kumlinganisha Nape na Mnyika ni kumdhalilisha Mnyika. Nape ni mropokaji asiyejua anachokisema, muulize kama Gamba limeshavulika kwa sababu alijitahidi kulishabikia sana. Wakati anaenda Dodoma alikuwa na sauti kubwa akarudi Mpole kama amemwagiwa maji.

Raisi ni dhaifu (Mnyika, 2012)
 
Tena angalau wangemsimamisha kipindi kile kabla hajachafuka hivi na ukatibu mwenezi wake. Nape akitaka ubunge labda akajaribu kwao Nanyumbu. Kule hawamjui sana
 
Mimi si mshabiki wa chama cha siasa, ila huwa ni mshabiki wa wanasiasa. Kati ya watu ninaowashabikia ni walikuwa hawa wote wawili, hata wakati ule wote wanagombea Ubunge hapo Ubungo, nilikuwa nasikitika sana maana niliona majembe yote mawili yako pamoja, na kwa vyovyote mmoja angekosa, kitu ambacho kweli kilitokea. Ushujaa aliokuwa nao Nape sijui kama ulikuwa wa kweli au alikuwa hivyo baada ya kukosa madaraka ndani ya chama. Maana nakumbuka wakati huo alimlipua Lowasa juu ya ujenzi wa jengo la Umoja wa vijana wa chama chake. Baada ya kumweka sehemu amabayo anasaini malipo ya posho mbali mbali, amejisahau na hata ushabiki wangu kwake umeisha. Mnyika yuko juu sana kwa huyu Nape. Nahisi hata maisha yake nje ya hiyo nafasi aliyonayo ni magumu sana. Awe kama wenzake walioko ndani ya chama chake ambao wanaangalia maisha yao ya baadae.
 
Tusimlaumu sana mleta mada ila ukweli ni sawa na mchana na mchana wenyewe ni j.j. Mnyika. Nape bado sana kwa kweli. Ova.
 
Hivi Nape anaweza simama akaongea jambo mbele ya Mnyika....ebu tuache utani kidogo. Mnyika ni zaidi ya mbunge, ni kiongozi kweli kweli.
lazima utasema hivyo, posho mnayo kula sio ndogo. Mnyika anapaishwa na nyie pandikizi wa CDM humu JF, hana lolote.
 
Uzalilishaji huu mpaka lini yaani Nape na John Mnyika wapi na wapi? kwanza hata chama chake hawawezi thubutu...
 
This poll is undemocratic and humiliating to the seating MP for Ubungo constituancy. How can you compare the two? Secondly this poll is unfair to CCM members who plan to vie for the post including our sister Hawa Ngarume who is ni court fighting for her rights to be the MP for the same constituency. Where was Nape when Hawa won CCM representation? Tuache majungu piga ua Ubungo Mnyika hatoki leo wala kesho, na muache dharau za kumpambanisha mbunge na watu ambao hawajawahi kuchaguliwa kokote kule zaidi ya kutamkwa na mtu mmoja kuwa wewe utakuwa fulani. Nape aligombea cheo gani akashinda zaidi ya kushindwa ukianzia na chama chake toka yupo kwenye jumuia ya vijana
 
Hawa wote ni wasemaji wa vyama vyao na pia Nape alijaribu kugombea Ubungo. Je, uchaguzi ungefanyika leo nani ungempa kura yako?

Kweli akuchaguliae tusi.......hivi kweli leo hii unaweza kumlinganisha Dr. Slaa na Lusinde (Mbunge wa Mtera- Kibajaji)? Kweli!! Nape na Lusinde wote ni waropokaji ila Nape ni zaidi ya Lusinde ndani ya CCM. Kuropoka ni kuropoka tu hata kama ni kistaarabu. Kumlinganisha Nape na Mnyika kweli umemshushia Mnyika hadhi yake, ni sawa kama umemlinganisha Dr. Slaa na Lusinde.
 
Back
Top Bottom