Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?


  • Total voters
    229
  • Poll closed .
Wacha CCM wajidanganye wamlete Nape.....akamuulize Mtatiro alipata kura ngapi kwanza.Hoja si kijana au kuwa Msemaji wa chama.
 
Huu ulinganifu siyo halali. kwa mimi hata Nape angegombea na Fisi Ubungo, ningetoa kura yangu kwa Fisi.
 
Mnyika simba,nape nyani....hiyo sio vita mbona wa kuuwawa anajulikana....mpakaa mkologo akasimame na dume?asubui tukachue mtoto..mnyika jembe,nape kimba
 
Kwanini umemzalilisha Mnyika kiasi hiki. unamfananisha Genius na tahahira?


Mkuu tedo, akili yangu haiamini kabisa kuwa Nape alikuwa hivyo alipokuwa shule, huenda hali hii imemtokea daada ya kupandikizwa uchawi ukubwani, hali inayomfanya anuwizie kumloga kila anayekatiza mbele zake.
 
obvious jembe mnyika anakubalika, mimi nipo bukoba lkn kazi anazofanya JJ. natamani awe mbunge wangu.
 
Hivi na uchaguzi 2015, kura zenu zitakuwa na ushabiki wa ki-vyama?????? Mbona nchi mnaipeleka pabaya??????? Chambueni kwanza sera za vyama kabla ya kupiga kura!!!!!!
 
Ni kweli mkiacha masihara Nape ni jembe,na ameisaidia sana CCM especially kwenye kugawa kanga,vitenge,kofia na vyakula vya wenye njaa wakati wa uchaguzi wa igunga,sasa mkae kimya japo kwa kumsifia kwa hilo

Hivi sababu gani zilimfanya asigombee 2010?amewahi kugombea nafasi gani? Na matokeo yake yalikuwa je?
 
Tatizo ninaloona mimi ni kuwa Mnyika anaongoza Bungeni kwa ubora wakati mwenzake Chama kimeshamshinda na hata mwakani sina hakika kama ataachiwa nafasi hiyo. Mnyika atashinda kwa mbali sana.
Pili, Nape hata akienda Chauma, kauli zake za dharau akiwa ccm zitamcost sana, hasa alizotoa dhidi ya viongozi wa Chadema wenye umri mkubwa kuliko yeye.
 
akili ya Nape bado ni changa sana na ndogo sana kuongoza watu hata angegombe na masuod Kipanya ...masoud angeshinda tena kwa kishindo
mkuu usimfananishe huyo nepi na kipanya masoud masudi kichwa wewe uoni misumari anayopiga kupitia katuni?
 
Mimi si mshabiki wa chama cha siasa, ila huwa ni mshabiki wa wanasiasa. Kati ya watu ninaowashabikia ni walikuwa hawa wote wawili, hata wakati ule wote wanagombea Ubunge hapo Ubungo, nilikuwa nasikitika sana maana niliona majembe yote mawili yako pamoja, na kwa vyovyote mmoja angekosa, kitu ambacho kweli kilitokea. Ushujaa aliokuwa nao Nape sijui kama ulikuwa wa kweli au alikuwa hivyo baada ya kukosa madaraka ndani ya chama. Maana nakumbuka wakati huo alimlipua Lowasa juu ya ujenzi wa jengo la Umoja wa vijana wa chama chake. Baada ya kumweka sehemu amabayo anasaini malipo ya posho mbali mbali, amejisahau na hata ushabiki wangu kwake umeisha. Mnyika yuko juu sana kwa huyu Nape. Nahisi hata maisha yake nje ya hiyo nafasi aliyonayo ni magumu sana. Awe kama wenzake walioko ndani ya chama chake ambao wanaangalia maisha yao ya baadae.
Nape does not walk what he talks. Watu wa aina hii, huwa kama comedians, mara nyingi si viongozi wazuri.
Mfano: Mbona gamba + Mapachas + siku tisini = 0
 
Back
Top Bottom