Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

Utampigia nani kura ya Ubunge Ubungo 2015?


  • Total voters
    229
  • Poll closed .
Nape wa sasa ni km mbwa koko anabweka sana lakini hang'ati, aliaza kubweka kwa nguvu vuwa gamba mwisho wa siku aliumbuka mwenyewe, sasa nina wasiwasi na kauli zake za mara kwa mara kama zina baraka kwa chama chake
 
6113984.jpg


Aliomba kuhamia CHADEMA kwa masharti eti asimame ubungo? Hawa Ngumbi amekushinda JJ utamuweza?
ha ha ha ha haaaa pole sana Nepi!
 
Matokeo ya Poll hadi hivi ninaripoti ni Mnyika 37 (97.37) Nape 1 (2.63).
Nilitatarajia itakuwa kura ya siri, lakini avatar za wapiga kura zimeanikwa pale.
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu
sasa wewe kama nape alishidwa na Hawa kura za maoni ubungo kwanini usiseme hawa ndio jembe? Labda ulete POLL ya NAPE VS ILE CHEMBA ya iramba.
 
jj kinara wa bunge lililopita hivi nape anamchango gani wa kuweza hata kukumbukwa? Ye aendelee kupaka caro right tu huwezi mfananisha na jembe jj akianza kuongea jj bungeni mpaka jk anakuwa makini kumsikiliza nape nani huwa anahangaika nae?
 
Hahahaa, Nyamizi hata huumi maneno kidogo, KHAAA!!!!!

Hiyo wanaita ngumi ya usoni - Nakubaliana na wewe kuwa Mnyika ni Present and Future wakati akina Nape ni VINTAGE.

Ha!ha!ha! Sikonge,unajua maswali mengine hata ukiulizwa ukiwa usingizini utajibu wala huhitaji kuifirikisha akili.Utamlinganishaje mtu alieshindwa kwenye kura za "maoni" ndani ya chama chake na Mbunge wa kuchaguliwa tena kwa kura za kutosha?
 
Nape ni jina la Baba ndilo lililomvuta pale alipo, lakini hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi. Maneno ya Nape yanapingana na level ya elimu yake. Hao vijana (Nape na Mwigulu) wanaidhalilisha elimu ya Tanzania. Kwa maana hiyo, nape hawezi shinda tena nafasi yeyote ya kuchaguliwa ndani ya ccm kama Mzee Makamba alivyosema " Nape amelaaniwa duniani na mbinguni"
usihukumu usije......?
 
Nape Jembe

Huyu si ndani ya CCM kwenye kura za maoni 2010 alishindwa na kikongwe Hawa Ngumbi?Sasa huyu ndiye wa kumlinganisha na JJ?Akipata Nape hata nusu za kura za JJ mwaka 2015 Ubungo basi NEC imtangaze Nape mshindi!
 
Una masihara wewe yaani mke wa Mbowe ndo unataka kumshindanisha na Jembe la CCM nape? Masihara menine bhana!!! Nikutafutiana ban tu

Mnyika anamegeka?acha bhana...mimi nilijua ni kamuonekano kakike tu kumbe ni hivyo?!acha masikhara mkuu!thibitisha bhana asije akapewa tongozo akarusha ngumi
 
akili ya Nape bado ni changa sana na ndogo sana kuongoza watu hata angegombe na masuod Kipanya ...masoud angeshinda tena kwa kishindo


Huku ni kumdhalilisha MAsoud Kipanya. Kipanya yuko juu sana, labda umfananishe na Mnyika ndo tunaweza kuongea.
 
Back
Top Bottom