Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
sijui ni lini gamba jingine litaondoka tufanye tena chaguzi ndogo cause tutachukua tena.
napatamani arumeru magharibi kwa Ole medeye.
sijui ni lini gamba jingine litaondoka tufanye tena chaguzi ndogo cause tutachukua tena.
Nape arudishe tu kadi, CCM sio deal anymore mbaya zaidi CCM inakataliwa sehemu za vijijini ambazo rahisi kuwahadaa kwa vijisenti,Katibu Mwenezi wa CCM,Nape Nnauye amekaririwa akidai kuwa kushindwa kwa CCM katika uchaguzi wa Ubunge wa Arumeru Mashariki kumetokana na hujuma.
Nape alikuwa akizungumza muda mfupi baada ya matokeo kutangazwa na Kagenzi na kuonyesha kuwa Joshua Nassari wa CHADEMA ameibuka mshindi.
Nape amedai kuwa kulikuwa na watu wasiokubalika kwenye jamii katika uchaguzi huo ambao ndio waliosababisha kushindwa kwa CCM.
Hata hivyo, Nape hakuwataja watu walioihujumu CCM uchaguzini.
Alisema kwa kuuliza: "Mbona Igunga hatukushindwa?'.
Alionekana amepagawa...
Katibu Mwenezi wa CCM,Nape Nnauye amekaririwa akidai kuwa kushindwa kwa CCM katika uchaguzi wa Ubunge wa Arumeru Mashariki kumetokana na hujuma.
Nape alikuwa akizungumza muda mfupi baada ya matokeo kutangazwa na Kagenzi na kuonyesha kuwa Joshua Nassari wa CHADEMA ameibuka mshindi.
Nape amedai kuwa kulikuwa na watu wasiokubalika kwenye jamii katika uchaguzi huo ambao ndio waliosababisha kushindwa kwa CCM.
Hata hivyo, Nape hakuwataja watu walioihujumu CCM uchaguzini.
Alisema kwa kuuliza: "Mbona Igunga hatukushindwa?'.
Alionekana amepagawa...
Inawezekana hayo maneno amewekewa mdomoni, kwani naye amekanusha. Bila shaka yeye alisema (kwa mujibu wa wall yake ya fb)Nape,
punguza porojo kijana kama ulikuwa unayajua yote hayo ya kuhujumiwa kwa nini ulienda Arumeru kufanya kampeni..
Nape Nnauye
Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!!
Nepi bana!
Ni kweli kauli ya SENDEKA ya kuendekeza ukabila na ile ya LUSINDE kumwaga matusi zaidi ya mlevi wa gongo hata kama mimi ningekuwa mpiga kura wa Arumeru nisengekipigia kura chama cha namna hiyo.
Wawatumie watu wenye staha na lugha njema kwenye kampeni zao