Nape Nnauye: Tumehujumiwa..

Nadhani huyu jamaa ndiye ambaye hakubaliki katika jamii ya binaadamu. Inabidi arudi kwenye jamii yake Gombe au afanyiwe Scrubbing ya nguvu ili sura angalao iwe soft. Nadhani huko aliko kwa sasa atakuwa amejificha ndani ya blanketi!
View attachment 50777
 
Kule ndio "HIP HOP" city we think real and act real.....sio Igunga kule!
 
Hivi Jabulani hio katuni hapo ni ya nani vile, nimemsahau jina
 
NAPE TOFAUTISHA USHINDI WA KUPIGIWA KURA NA USHINDI WA KUIBA KURA!! IGUNGA MLISHINDA KWA KUIBA KURA JAMBO AMBALO LINAWAFANYA MSITAMBUE HALI HALISI YA CHAMA CHENU!! MNGEACHA KUIBA KURA PAMOJA NA KUTUMIA VYOMBO VYA DOLA then MNGEWEZA KUTAMBUA HALI HALISI YA CHAMA CHENU!! KWA SASA KATI YENU NYOTE MLIOKO JUU HAKUNA HATA MMOJA ANAYETAMBUA HALI HALISI YA CCM KWA SABABU KUU MATATU:-
1. MMEPEANA MADARAKA KI-NDUGU HIVYO KUPUNGUZA WIGO WA UTAMBUZI WA MAMBO
2. MNAPOOMBA USHAURI WA VYOMBO VYA DOLA MNATUMIA VITISHO HIVYO KUWAFANYA WAWASHAURI MAMBO AMBAYO MNGEPENDA KUYASIKIA.
3. kILA MNAPOIBA KURA MNAOGOPA KULICHADILI KWA PAMOJA MKIOGOPA KUPOTEZA UMAARUFU WA MTU MMOJA MMOJA!

Mkuu, ni ngumu sana kugundua uwezo wa mwanafunzi anayeibia ktk chumba cha mtihani.
Unaweza kupata bichwa kuwa mwanangu anafaulu hivyo sina haja ya kumpeleka tution kumbe toto halijui hata kusoma linaibia tu kwenye mtihani sasa pakuumbuka ni siku ile atakayokosa mwanya wa kuibia kama kawaida yake.
CCM haijui uwezo wake na udhaifu wake coz wamezoea kupata ushindi kwa njia za udanganyifu na wizi.

:rip: CCM
 
Wasiokubalika katika jamii:
  1. Mkapa
  2. Wasira
  3. Lusinde
  4. Lowasa
  5. Sendeka
  6. .....
 
Walipeleka vilaza kumkampenia kilaza dunia ingeshangaa angeshinda
 
Jana nilikuwa nasikiliza hotuba ya Chinga kwenye GLOBU ya michuzi, aliyoitoa jumamosi akifunga kampeni za jamaa aliyegoma kuoa! Yaani nilicheka sana, maana Chinga aliongea PUMBA kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la kwanza angeshangaa jinsi alivyokuwa akitoa takwimu za kipuuzi na kuwatukana wapinzani (CHADEMA). Sijui uso wake atauficha wapi! Hongera sana wananchi wa Arumeru kwa kupembua PUMBA na MCHELE! PEOPLES' POWER!
 
..yote 9..kumi ni ccm chaliii..dadeek,hakuna cha hujuma wala nin,na uo ni mwanzo tu!wawadanganye uko uko vijijin ambao hawajafunguka macho..ila wajue wakija mjini imekula kwaoo..im so happy 4CDM..So so happy! Mwendo spidi240,ileile ad 2015 ..na igunga c arumeru vijana arusha wana ulinzi zaid yaulinzi..kabwa ad penat,no uchakachuz.com..********!

Tusiwadharau watu wa vijijini. Population ya maeneo ya mijini ni ndogo sana kuweza kumpa jamaa ushindi. Vijiji vingi vimefunguka. Naomba kama kuna mwenye matokeo halisi tupate mchanganuo kata hadi kata tuone jinsi Nasari alivyoshinda vijijini.
 
Kila mhujumu anadhani kuna watu wanamhujumu. maana mwizi siku zote anahisi kuna wanaotaka kumwibia. Anayesarandia wake za watu anahisi kila wakati kwamba wapo wanaomsarandia mkewe. jambazi hataki afanyiwe ujambazi. Wamekwamishwa CCM na mbinu zao chafu za wizi kila saa. matusi yoote kumbe walidhani wananchi wa Arumeru wanazo akili za kidumu chama na ficra zilezile za kale, wamesahau kwamba dunia ni dynamic, ni kijiji na wao waende vijijini huko ambako kuna watu wanaofikiri bado Nyerere ni raisi wa Tanganyika. Ni changamoto, ccm wajifunze ustaarabu hata kama kidonge wanachomeza ni kichungu sana, ndicho kinachoaminiwa kutibu ugonjwa sugu walio nao.
 
Katibu Mwenezi wa CCM,Nape Nnauye amekaririwa akidai kuwa kushindwa kwa CCM katika uchaguzi wa Ubunge wa Arumeru Mashariki kumetokana na hujuma.

Nape alikuwa akizungumza muda mfupi baada ya matokeo kutangazwa na Kagenzi na kuonyesha kuwa Joshua Nassari wa CHADEMA ameibuka mshindi.

Nape amedai kuwa kulikuwa na watu wasiokubalika kwenye jamii katika uchaguzi huo ambao ndio waliosababisha kushindwa kwa CCM.

Hata hivyo, Nape hakuwataja watu walioihujumu CCM uchaguzini.

Alisema kwa kuuliza: "Mbona Igunga hatukushindwa?'.

Alionekana amepagawa...

katika wana-ccm wachache watakaofungua shampeni leo kusheherekea matokeo ya arumeru, lazima nape naye yumo!
 
Nadhani huyu jamaa ndiye ambaye hakubaliki katika jamii ya binaadamu. Inabidi arudi kwenye jamii yake Gombe au afanyiwe Scrubbing ya nguvu ili sura angalao iwe soft. Nadhani huko aliko kwa sasa atakuwa amejificha ndani ya blanketi!
View attachment 50777

Nyara ya Taifa!!! Tehe tehe tehe tehe tehe teheeeeeeee!!
 
Nape amedai kuwa kulikuwa na watu wasiokubalika kwenye jamii katika uchaguzi huo ambao ndio waliosababisha kushindwa kwa CCM.

Kumbe inawezekana CCM ina wabunge na na makada wa ngazi za juu kabisa ambao japo ni viongozi au walikuwa vingozi walipita kwa mngongo wa chama si kwamba ni viongzi bora Wawavue magamba Mbna nape anachelewa.

Au na magamba yamegoma kuvuliwa kwenye
 
Katibu Mwenezi wa CCM,Nape Nnauye amekaririwa akidai kuwa kushindwa kwa CCM katika uchaguzi wa Ubunge wa Arumeru Mashariki kumetokana na hujuma.

Nape alikuwa akizungumza muda mfupi baada ya matokeo kutangazwa na Kagenzi na kuonyesha kuwa Joshua Nassari wa CHADEMA ameibuka mshindi.

Nape amedai kuwa kulikuwa na watu wasiokubalika kwenye jamii katika uchaguzi huo ambao ndio waliosababisha kushindwa kwa CCM.

Hata hivyo, Nape hakuwataja watu walioihujumu CCM uchaguzini.

Alisema kwa kuuliza: "Mbona Igunga hatukushindwa?'.

Alionekana amepagawa...

Wamejihujumu wenyewe kwa kauli zao za matusi na ukabila sasa wanatafuta mchawi wa kazi gani?
 
Na Nchemba kuwa tishio kwa Wake za watu nako kumewa-cost Magamba. Asilisahau na hilo.
 
Back
Top Bottom