mwana wa africa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 548
- 128
makamba alikibomoa chama na nape anahitimisha kukisambaratisha
Umma wa wapi?labda wa moshi mjini, au wale wavuta bangi wanaokusanyika kwenye mikutano na maandamano yao
Jamani Nape mwacheni,Sisi tuliosoma nae ndio tunamjua.Nilisema tangu mwanzo hasa pale alipojitokeza kugombea uenyekiti wa UVCCM...Huyu Jamaa ni janga.Tunamwelewa ila bado watu hawajamuelewa vizuri
Sijui ni IQ ndogo ama ni nini,Mtu anashindwa kuchagua maneno ya kusema.Ni aibu kubwa
Albedo,
Ningependa kujua Nape alizungumza maneno haya wapi na source yako? ........ Na kama kweli amesema haya maneno basi inabidi ajiuzulu mara moja.
Nape said:Atoe ushahidi hadharani, unajua hawa watu ni waongo, hata Watanzania watawashangaa, alisema Nape.
Kuhusu suala la kuhamia katika chama hicho, Nape alisema: Tena uandike kabisa, mimi ndiyo ninao ushahidi wa wao kunitaka nikagombee kupitia chama chao nikakataa, kwa sababu siwezi kuhamia kwenye chama cha Wachagga, kile ni chama cha ukoo,
Mbona sikuelewi mkuu hapo ndio umesahihisha nini? rangi ya maandishi au?Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!
Sekretariati ya CHADEMA
Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz
Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz
Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz
Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz
Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz
Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz
Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz
Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara
huyu dogo nagusa kusipogusika sasaNape alisema Dk Slaa ni Padre hivyo pia alipaswa kuungama kwa Mungu kwa kutokuwa mkweli ndani ya dhamira yake."Bahati nzuri Dk Slaa ni Padre, namshauri pia amuombe radhi Mungu, kwani amekuwa akipita mitaani kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania kumbe naye hana maadili yoyote," aliongeza Nape.
Umekosea,amejidhalilisha hajamdhalilisha mchagga yeyote.Halafu unasema usiende mara usije huku,very confusing...Asiende wala asije wapi?Two contradicting words in the same sentence.Huwezi kusema usiende kwa wachagga na usije at the same time.Labda amekudhalilisha wewe.Na anajuwa fika atendalo,sema uwezo wa kufikiria madhara ya kauli zake haupo.nakuomba NAPE usiende kwa wachagga na usije.umewadhalilisha,hujui utendalo wewe