NAPE, MBOWE NA Dr SLAA KATIKA MAZISHI YA MPIGANAJI BOB MAKANI

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
6,500
Mchezo wa Siasa ni zaidi ya watu wa kawaida tujuavyo!!.
(Picha kutoka Michuzi blog)
 
Attachments

  • 2B.jpg
    2B.jpg
    50 KB · Views: 394
  • 3 (4).jpg
    3 (4).jpg
    33.6 KB · Views: 351
MMmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh haya yangu macho ila jamani sio kwamba jamaa anafanya booking ya kiti akija CDM? gnt
 
Ukisikia vicheko vya kinafik ndio hivyo, msibani watu wakenue meno namna hiyo? wote wanafik.
 
Nimekumbuka enzi za Mwalimu ambapo wagombea wa ubunge walipanda gari moja na wote walihutubia pamoja. Unafiki huu wa Nape Tusingeuona inaelekea Nape anawasema viongozi wa CDM vibaya huku anawapenda coz wako mbali nae! Mh Mbowe utafikiri anamshangaa Nape na kusema si ndo huyu katutukana Jumamosi CHADEMA SQUARE?
 
Siasa ni mchezo mbaya sana, shabiki asipokuwa makini ataumia wakati wachezaji wakiwa wanapeta tu. Ni hayo tu
The unseen is illustrated by the seen.
 
Siasa ni mchezo mbaya sana, shabiki asipokuwa makini ataumia wakati wachezaji wakiwa wanapeta tu. Ni hayo tu
The unseen is illustrated by the seen.
 
Siasa siyo uadui. waungwana ,jaribuni kufuatilia siasa za Ulaya Magharibi na Marekani
muone Wanasiasa wanavyozungumza na kufurahi pamoja bila kujali Itikadi zao za kisiasa.

Nimekumbuka enzi za Mwalimu ambapo wagombea wa ubunge walipanda gari moja na wote walihutubia pamoja. Unafiki huu wa Nape Tusingeuona inaelekea Nape anawasema viongozi wa CDM vibaya huku anawapenda coz wako mbali nae! Mh Mbowe utafikiri anamshangaa Nape na kusema si ndo huyu katutukana Jumamosi CHADEMA SQUARE?

Enzi hizo kulikuwa kuna upinzani?
 
Back
Top Bottom