King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,697
- 68,683
M4C mpango mzimaaaaaaa!!!
MPesa: 111333
MPesa: 111333
kwani hata akikanusha itasaidia nini sasa!vijijini huko kilosa.akikaa kimya anakubaliana na hali halisi.tunataka kauli yake mbna wanawategemea sana hawa wenyeviti wa vijiji katika kush4nda uchaguzi
Nini significance ya kauli yake ikiwa kweli hao wenyeviti wameona bora waseme kweli ya hali halisi inayowakabili?
Baada ya kupinga kumalizika wabunge wa magamba wameagizwa waende kukanusha yote yaliyokuwa yanasemwa kwenye M4C.kwasasa Nape yupo busy kuona ni jinsi gani wataratibu mikutano katika maeneo ambayo m4c wamepita ikiwa ni kujaribu kuweka mambo sawa.
Wapi Maralia Sugu jamani
M4C mpango mzimaaaaaaa!!!
MPesa: 111333
hii inaonyesha jinsi kimbunga cha m4c kilivyompeperusha humu yeye na ccm wangekuwa waadilifu kiivyo asingekimbia humuHuyu nape mpaka amekimbia jf?!!
Narudia kusema tena, sisi tuliopo Lumumba tunafuatilia kila kitu kinachoendelea kuhusu M4C kuanzia kule Lindi, Mtwara, London, USA, Dar, Mara, Morogoro, Arusha nk.
Kifupi tupo kwenye wakati mgumu sana kuliko wakati mwingine wowote toka mfumo wa vyama vingi umeingia tena nchini.
Taarifa za makada wetu kutoka sehemu mbalimbali ni za kukatisha tamaa tu kila siku.
Hii ni baadhi ya mikakati tulioianza na ambayo tunairatibu siku kwa siku.
*Mpango wa NAPE;
kupiga propaganda na kuiga operation za M4C (Propaganda ni rahisi kufanya na ndio msingi wa siasa za chama chetu lakini kwa sasa hazina nguvu kwa sababu ya utandawazi na kukua kwa uelewa kwa watu,
kufanya zile operation ulikuwa mpango mzuri lakini shida ni:
1/Unakigawa chama
2/Ni gharama kubwa (chama kina ukata na haukutengewa fungu maalum)
3/Ungehalalisha harakati za M 4C.
4/Hatuna uzoefu wowote wa siasa za kiharakati kwa sababu hatukuwahi kuwa chama cha upinzani toka tumepata uhuru)
*Mpango wa PINDA;
kutumia Dola ie Polisi, DC, RC, Tendwa (Lakini pia anaogopaogopa kwa sababu aliratibu mpango wa polisi kule Arusha na suala la Ulimboka halafu mambo yakamtokea puani, hivyo ni bora awatumie Tendwa,DC,RC zaidi kuliko polisi)
*Mpango wa WASIRA: kupandikiza mamluki ili wawavuruge(hili linahitaji usiri na pesa, ni kama kucheza kamari)
*Mpango wa MWIGULU; Kutumia pesa na ahadi za kuwapa vyeo ili kuwanunua makamanda wao ili wahamie CCM (Mchezo wa kitoto sana, bahati mbaya hata Mukama anauunga mkono, Makamba Senior alifanyaga hivyo na ukazaa matatizo makubwa sana ndani ya chama)
*Mpango wa JK;
Kutumia mahakama na Bunge kuzima harakati zao(Ni mkakati wa hila tu, matokeo mazuri yanadumu kwa muda mfupi sana, lakini unazaa athari mbaya kwetu kwa muda mrefu)
*Mkakati maalum wa IKULU; kutumia usalama wa taifa na vyombo vya habari kuwasambaratisha kwa gharama yoyote (Tatizo ya mbinu hii inahitaji usiri mkubwa sana, na kwa sasa hakuna siri tena!)
Nitarudi tuuu eeee CCM ndo mpango mzima 2015 hata mje na M5C!

Ccm kwishney!!