Nape kanusha na hili.

vijijini huko kilosa.akikaa kimya anakubaliana na hali halisi.tunataka kauli yake mbna wanawategemea sana hawa wenyeviti wa vijiji katika kush4nda uchaguzi
kwani hata akikanusha itasaidia nini sasa!
M4C yenyewe ipo na inaimpact kuliko za akudo.
 
hili la kutumia usalama wa taifa linatisha sana itabidi msitu wa pande ufyekwe itengenezwe bustani ya mapumziko kupunguza madhara.
 
Baada ya kupinga kumalizika wabunge wa magamba wameagizwa waende kukanusha yote yaliyokuwa yanasemwa kwenye M4C.kwasasa Nape yupo busy kuona ni jinsi gani wataratibu mikutano katika maeneo ambayo m4c wamepita ikiwa ni kujaribu kuweka mambo sawa.

mbona watachanganyikiwa maana M4C imevuruga ile mbayo huku kilosa
 
Kwani mnadhan ye hajui hii kitu? Anafanya ili ajaribu kuwakomesha wabaya wake. Mwisho wa siku ugomvi wao faida kwa CDM.
 
Though I am not sure kama umefanya research.............. Kwa jinsi ulivyopangilia, I 100% support your argument.
Narudia kusema tena, sisi tuliopo Lumumba tunafuatilia kila kitu kinachoendelea kuhusu M4C kuanzia kule Lindi, Mtwara, London, USA, Dar, Mara, Morogoro, Arusha nk.

Kifupi tupo kwenye wakati mgumu sana kuliko wakati mwingine wowote toka mfumo wa vyama vingi umeingia tena nchini.

Taarifa za makada wetu kutoka sehemu mbalimbali ni za kukatisha tamaa tu kila siku.

Hii ni baadhi ya mikakati tulioianza na ambayo tunairatibu siku kwa siku.

*Mpango wa NAPE;
kupiga propaganda na kuiga operation za M4C (Propaganda ni rahisi kufanya na ndio msingi wa siasa za chama chetu lakini kwa sasa hazina nguvu kwa sababu ya utandawazi na kukua kwa uelewa kwa watu,
kufanya zile operation ulikuwa mpango mzuri lakini shida ni:
1/Unakigawa chama
2/Ni gharama kubwa (chama kina ukata na haukutengewa fungu maalum)
3/Ungehalalisha harakati za M 4C.
4/Hatuna uzoefu wowote wa siasa za kiharakati kwa sababu hatukuwahi kuwa chama cha upinzani toka tumepata uhuru)

*Mpango wa PINDA;
kutumia Dola ie Polisi, DC, RC, Tendwa (Lakini pia anaogopaogopa kwa sababu aliratibu mpango wa polisi kule Arusha na suala la Ulimboka halafu mambo yakamtokea puani, hivyo ni bora awatumie Tendwa,DC,RC zaidi kuliko polisi)

*Mpango wa WASIRA: kupandikiza mamluki ili wawavuruge(hili linahitaji usiri na pesa, ni kama kucheza kamari)

*Mpango wa MWIGULU; Kutumia pesa na ahadi za kuwapa vyeo ili kuwanunua makamanda wao ili wahamie CCM (Mchezo wa kitoto sana, bahati mbaya hata Mukama anauunga mkono, Makamba Senior alifanyaga hivyo na ukazaa matatizo makubwa sana ndani ya chama)

*Mpango wa JK;
Kutumia mahakama na Bunge kuzima harakati zao(Ni mkakati wa hila tu, matokeo mazuri yanadumu kwa muda mfupi sana, lakini unazaa athari mbaya kwetu kwa muda mrefu)

*Mkakati maalum wa IKULU; kutumia usalama wa taifa na vyombo vya habari kuwasambaratisha kwa gharama yoyote (Tatizo ya mbinu hii inahitaji usiri mkubwa sana, na kwa sasa hakuna siri tena!)
 
Join Date : 18th August 2012

Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given1

[h=2]heheheheheh uuuuwiii[/h]
 
unawashwa sehemu gani zaidi ktk mwili kwa mfano kama mtu atakuuliza.
 
Chadema hakiwezi kuongoza nchi kwa sasa,bado kinakabiliwa na changamoto nyingi sana za ndani ya chama,labda baade sana.,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom