Nape, huna maadili ya kukemea waliokosa maadili juu ya uzushi wa Makamu wa Rais Mpango

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
2015 Nape alimtusi mzee Lowasa kwamba ni mgonjwa na kwamba ikulu anapotaka kwenda sio wodi ya wagonjwa.

2022 Nape alifurahia kifo cha Magufuli wakati akimkaribisha Membe ndani ya chama. Nape alimuambia Membe Mungu ameamua ugomvi bahari imetulia.

2023 Nape alikaa kimya pale ambapo katibu mkuu wa ccm Ndg. Chongolo alipojiuzu kwa madai kuwa kuna watu walimtengenezea kashfa za ngono kwenye mitandao ya kijamii.

2023 Nape anatoa maagizo kwa wale wote waliomzushia ugonjwa/kifo VP Mpango wakamatwe haraka.

Mkiacha hilo Nape ana kashfa kufuatilia maudhui ya ngono kwenye mtandao wa X Twitter. Pia ndio mwoga wa taifa baada ya kutembea kwa mguu kutoka Kariakoo - Mnazimmoja kwenda Ikulu kwa ajili ya kuomba Msamaha kwa Magufuli wakati hakupigwa hata fimbo.

Bado najiuliza Bumunda hili liliwezaje kuwa first eleven kwenye kikosi cha Samia? Au ndio maana Samia anaporonga?

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.​

20231210_234607.jpg
 
Kwanini mnahisi Nape ni Bumunda ila ameweza kubadili mijadala kifaifa kutoka kutaka kujua sababu ya kutoonekana Makamu kwenda kumjadili yeye na madhaifu yake ya kibinadamu na wala si sheria yenyewe anayotaka kuitumia? Kama vile tunacheza ngoma yake,anyway tuendelee.
 
Kitu cha kushangaza ni kwamba Nape Nnauye yeye mwenyewe binafsi ni Waziri wa nchi hii ambaye anahusika moja kwa moja na masuala ya Habari, hususani habari zinazoihusu Serikali na Viongozi wake.

Sasa, Je, ni kwa nini yeye hakutoa Habari kwa Umma/Wanachi mapema wakati Makamu wa Rais aliposafiri kwenda nje ya nchi kwenye hiyo ziara yake anayodai kuwa ni ya kikazi?

Kwanini Nape hakufanya hivyo mapema ili kuujulisha umma, ikiwa kutoa Habari kwa Umma ni moja ya Majukumu yake makuu kutokana na Cheo chake cha Uwaziri wa Habari?

Kwa sababu anapokea mshahara wa kila mwezi pamoja na marupuruou yake yote kwa kazi ya kutoa Habari kwa Umma, Je, kwa nini alishindwa kutoa Habari kwa Umma mapema mpaka akasababisha taharuki kwa Wananchi na mwishowe kuzuka kwa uvumi huu uliojitokeza?

Muda wote huo yeye Nape alikuwa wapi? Katika kadhia hii, kwa nini yeye binafsi asiadhibiwe kwa uzembe badala yakuwatuhumu watu kwamba wanaeneza uzushi mitandaoni?

Je, haoni kwamba kiini cha kadhia hii ni yeye mwenyewe binafsi kutokana na uzembe wake wa kutokutoa taarifa sahihi kwa umma mapema?

Ndio maana JPM alimuonjesha "Joto ya Jiwe."
 
Attachments

  • 5117362-148efa178040dfcd6b51b581965e1bf3.mp4
    25.4 MB
Kwanini mnahisi Nape ni Bumunda ila ameweza kubadili mijadala kifaifa kutoka kutaka kujua sababu ya kutoonekana Makamu kwenda kumjadili yeye na madhaifu yake ya kibinadamu na wala si sheria yenyewe anayotaka kuitumia? Kama vile tunacheza ngoma yake,anyway tuendelee.
Kwani yeye ndio kabadili mjadala, au automatically mjadala umegeuka wa kumpaka shombo yeye?
 
2015 Nape alimtusi mzee Lowasa kwamba ni mgonjwa na kwamba ikulu anapotaka kwenda sio wodi ya wagonjwa.

2022 Nape alifurahia kifo cha Magufuli wakati akimkaribisha Membe ndani ya chama. Nape alimuambia Membe Mungu ameamua ugomvi bahari imetulia.

2023 Nape alikaa kimya pale ambapo katibu mkuu wa ccm Ndg. Chongolo alipojiuzu kwa madai kuwa kuna watu walimtengenezea kashfa za ngono kwenye mitandao ya kijamii.

2023 Nape anatoa maagizo kwa wale wote waliomzushia ugonjwa/kifo VP Mpango wakamatwe haraka.

Mkiacha hilo Nape ana kashfa kufuatilia maudhui ya ngono kwenye mtandao wa X Twitter. Pia ndio mwoga wa taifa baada ya kutembea kwa mguu kutoka Kariakoo - Mnazimmoja kwenda Ikulu kwa ajili ya kuomba Msamaha kwa Magufuli wakati hakupigwa hata fimbo.

Bado najiuliza Bumunda hili liliwezaje kuwa first eleven kwenye kikosi cha Samia? Au ndio maana Samia anaporonga?

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2839456
Mmoja ya watu wanaoiabisha serikali hii ni pamoja na huyu mbeha kuwepo huko
 
2015 Nape alimtusi mzee Lowasa kwamba ni mgonjwa na kwamba ikulu anapotaka kwenda sio wodi ya wagonjwa.

2022 Nape alifurahia kifo cha Magufuli wakati akimkaribisha Membe ndani ya chama. Nape alimuambia Membe Mungu ameamua ugomvi bahari imetulia.

2023 Nape alikaa kimya pale ambapo katibu mkuu wa ccm Ndg. Chongolo alipojiuzu kwa madai kuwa kuna watu walimtengenezea kashfa za ngono kwenye mitandao ya kijamii.

2023 Nape anatoa maagizo kwa wale wote waliomzushia ugonjwa/kifo VP Mpango wakamatwe haraka.

Mkiacha hilo Nape ana kashfa kufuatilia maudhui ya ngono kwenye mtandao wa X Twitter. Pia ndio mwoga wa taifa baada ya kutembea kwa mguu kutoka Kariakoo - Mnazimmoja kwenda Ikulu kwa ajili ya kuomba Msamaha kwa Magufuli wakati hakupigwa hata fimbo.

Bado najiuliza Bumunda hili liliwezaje kuwa first eleven kwenye kikosi cha Samia? Au ndio maana Samia anaporonga?

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.​

View attachment 2839456
Kumekucha !
 
Back
Top Bottom