Hongera mkuu, mungu awabariki sana! Halafu hizi id za jf mmh! Yaani siku zote nilifikiri id yako ina prizenti maisha yako halisi, kumbe dah, kweli jf kiboko! Pamoja sana mkuu ktk furaha!
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwani amenibariki mimi na mke wangu mtoto wa kwanza mtoto wa kiume.
Thanks GOD for this blessing. Jamani sisi sote ni ndugu karibuni mnipongeze na tufurahi pamoja.
Hongera, muite Arumeru Mashariki,lol!!!Nimpe jina gani wakuu, naona wengh hamjajikita huko.
Nimpe jina gani wakuu, naona wengh hamjajikita huko.
Nimpe jina gani wakuu, naona wengh hamjajikita huko.