Salaam, Shalom.
Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu.
Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo zilizofupisha uhai wake.
Unakuta mtu anasema, "Mama yangu ndio Kila kitu katika Maisha YANGU", hazipiti siku miezi au miaka michache Mama anaaga Dunia.
Mwingine ana ndugu ambaye amejaliwa moyo wa kheri, anayesaidia ndugu, ukoo na JAMII inayomzunguka, watu Badala ya kumshukuru Mungu, utasikia, " James ndiye tegemeo katika ukoo wetu", Mungu anasahaulika, utukufu anapewa mwanadamu, msilolijua, Kwa kumpa utukufu mtu Badala ya Mungu, mnafupisha uhai wa mnaemsifia.
Marehemu Magu alipofanikiwa Kwa haraka katika KAZI alizozifanya katika kuwatumikia wananchi, watu Badala ya kumshukuru Mungu, wakaanza kumpa sifa mtu Badala ya Mungu, hili ni jambo baya.
SOLUTION.
1. Ukifanikiwa katika jambo lolote, Sema, Asante Mungu Kwa kunipa utajiri, Ahsante Mungu kunipa watoto wenye AKILI, Sema, Mungu ndiye sababu ya Mimi kujenga nyumba nzuri nk nk nk. Kamwe usijisifu na kujipa utukufu aliopaswa kupewa Mungu.
2. Kemea mara Moja watu wanaokupa sifa zisizokustahili, Mtu akikwambia, wewe ni mzuri sana, Sema, Ni Mungu ndiye aliyeamua niwe hivyo, akikwambia wewe ni daktari Bora kuliko madaktari wote, mjibu kuwa, yote ni Kwa Neema ya Mungu.
Angalizo Isaya 42:8) Mimi ni BWANA, ndilo JINA langu, utukufu wangu sitampa mwingine, Wala sitawapa sanamu sifa zangu.
Mungu awabariki.
Amen