Naombeni tufurahi pamoja, mungu kanibariki na mtoto wa kiume.

wow! Glory to almight God! hongera sana kaka mungu ni mwema! Mpe hongera ur wife pia,namtakia mtoto maisha marefu yenye baraka tele,mungu amlinde na kumpatia afya njema! Mungu awapatie afya njema na hekima awawezeshe kumlea vizuri! Hongera kwa kuwa baba!

Asante sana mkuu.
 
Kwa nini asiwe AMANI?
Hana mpango wa kuishi Bongo?
Kama hana mpango huo poa awe Amani,ila kama tutabanana hapa hapa mkuu hilo jina halifai,si unamuona yule waziri anayeitwa "TYSON"kwanza halogeki kutokana na jina lake,Vp na yule "POMBE MAGUFURI"huoni jinsi walivyo wababe hawaii jamaa?
Kua makini mkuu,maana anaweza akashika nchi then akawa balaa.
 
Back
Top Bottom