Naombeni tufurahi pamoja, mungu kanibariki na mtoto wa kiume.

Hongera mkuu, mungu awabariki sana! Halafu hizi id za jf mmh! Yaani siku zote nilifikiri id yako ina prizenti maisha yako halisi, kumbe dah, kweli jf kiboko! Pamoja sana mkuu ktk furaha!
 
Hongera mkuu, mungu awabariki sana! Halafu hizi id za jf mmh! Yaani siku zote nilifikiri id yako ina prizenti maisha yako halisi, kumbe dah, kweli jf kiboko! Pamoja sana mkuu ktk furaha!

Haya mkuu, haya ndiyo maisha yangu halisi.
 
Hongera wakusoma! kwa nini umefurahi zaidi ulipompata wa kiume tofauti na wa kike! mpe jina litakaloakisi hali halisi ya tz yetu kwa sasa!!! napita njia tu mkuu!
 
yeah, ni jambo la heri hivyo kufurahi pamoja nawe ni sawa kabisa, wapo wengi wamejaribu kwa kila hali wapate mtoto japo mmoja tuu!! imeshindikana. mshukuru mungu kwa hilo, jipangeni sasa namna ya kumlea huyo malaika
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwani amenibariki mimi na mke wangu mtoto wa kwanza mtoto wa kiume.

Thanks GOD for this blessing. Jamani sisi sote ni ndugu karibuni mnipongeze na tufurahi pamoja.

hizi ni habari njema sana...
Mungu akusaidie kumlea aisee!
 
wow! Glory to almight God! hongera sana kaka mungu ni mwema! Mpe hongera ur wife pia,namtakia mtoto maisha marefu yenye baraka tele,mungu amlinde na kumpatia afya njema! Mungu awapatie afya njema na hekima awawezeshe kumlea vizuri! Hongera kwa kuwa baba!
 
Hongereni sana na Mungu amlinde na kumkuza akiwa na afya njema kwaajili ya sifa na utukufu wake Mungu
 
mkuu.
Ebu chagua jina moja hapa mpe,nakuahidi utanikumbuka.
1.Bedui.
2.Mkono wa chuma.
3.Gadaf.
4.Jemedary
5.Dictator
6.Joseph Konyi
7.Bagdad
8.Dafur
9.Wamba dia Wamba
10.Fidely casto
Chagua jina moja au mawili hapa mpe.
Atakuwa mbabe balaa.
Nchi yenyewe ishaoza hii.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom