MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
USHAURI KWA HUYO MAMA......!
''...if you are going through the HELL....just keep going,there is always an exit door far far ahead....''
ninachokijua mimi ni kwamba zinaa anayoifanya huyo baba ni matokeo ya kushindwa kumchagua a right person ''kama hafanyi kwa tamaa za kimwili''
lakini pia.....(POTELEA MBALI MI NAOMBA NIWE MKWELI TU)....matokeo ya zinaa anayoifanya huyo baba ni MAKUBWA SANA(hapa tunaweka imani chini tunazungumzia DEATH AND LIFE BUSSINESS)
acheni masihara ninyi watu.......
Now you are talking Teamo............. point ya kwanza na ya tatu nakuunga mpaka kichwa but hapo kwenye ya pili kuwa matokeo ya anachokifanya mbaba ni kushindwa kuchagua the right partner toka mwanzo pananipa utata............ How many choices alikuwa nazo enzi hizo?? Unless tuthibitishiwe kuwa huyu mkewe wa ndoa ndie aliyemwingiza yeye baba kwenye ulimwengu wa mapenzi akachanganyikiwa.