Naombeni msaada wapendwa!!!!!

...-Kama ilivyo kawaida mother house hana furaha na kile anachokifanya mume wake, kumletea hadi mtoto kwenye ndoa. Hana ujasiri kwa mume wake, ni mnyonge, hana maamuzi yake binafsi, hana uhuru wa kutosha. Yani ni tabu tupu. Anaishi tu kwa sababu kuna kuishi lakini hana furaha ya ndoa kabisa. Na kwa sababu ya hayo anazidi kuwa kituko kabisa, hata house girl anaweza akamfokea!!

...hii lower self esteem inatokana/inasababishwa na nini?
Nini kinachompelekea huyu mama kupoteza uwezo huo wa kujiamini?
Upungufu wa elimu na uwezo wa kifedha sio kigezo cha mtu kushindwa kujitambua maeneo mengine ambayo yanampa thamani yake katika jamii.
Aisimamie kwanza Imani yake kwa mw'mungu wake. Binaadamu anaweza poteza mali, watoto na jamaa zake, lakini Imani yake ikiwa thabiti, hakuna wa kumteteresha.

hii mada inanikumbusha mistari ya biblia;

A wife of noble character who can find? She is worth far more than rubies.

Proverbs 31:10

...Pamoja na mapungufu yake kielimu na uwezo wa kung'amua mambo ya kidunia, huyo mama mwenye nyumba amejaaliwa sifa zake kama mke mwema. Naamini ndizo sababu zilizomvutia huyo baba kumuoa.

Huyo 'kimada' anatakiwa ajielewe yeye ni business partner tu, NOT wife Material.

Hapo tu ndo napokupendea kimada hafai anafata mkwanja tu

Edson kuna swali naomba kukuuliza, kuna sehemu hapo juu umeniambia niangalie historia ya mama huyu mama na familia aliyotoka, sasa niangalie vitu gani??? Na je hivyo vitu vitakuwa vimechangia vipi ujinga wa huyu mama?? Asante!!

Huyu mwanaume ni kituko.....maswala ya ndoa hayana uhusiano wa moja kwa moja na kipato wala uchumi na kuna mifano mingi ya wajasilia mali ambao wamefanikiwa bila ya elimu ya darasani wala elimu ya ndoa.

Huyu mwanaume anatakiwa ajue....wapo watu wameoana na masters zao na hadi leo hii mafanikio ya kiuchumi ni yakawaida tu...hapa angeweza kumsaidia kimawazo ya kusimamia miradi ya kiuchumi kwa kumwelimisha wife wake

Kwakuwa umeongelea kidini basi imani ......yaani faith hasina reasoning huenda kufanikiwa kwake hadi hapo kwa kidosho kumetokana na Mungu na huyo kidosho angemfanya kuwa mfanyakazi tu na sio kuharibu ndoa yake takatifu.

kwakuwa ametenda dhambi basi hapo ukombozi ni toba tu na toba ni kumwacha kidosho

Edson kuna swali naomba kukuuliza, kuna sehemu hapo juu umeniambia niangalie historia ya mama huyu mama na familia aliyotoka, sasa niangalie vitu gani??? Na je hivyo vitu vitakuwa vimechangia vipi ujinga wa huyu mama?? Asante!!

...mnnnhhh? LD, ujinga upi unaouzungumzia hapa?

...mnnnhhh? LD, ujinga upi unaouzungumzia hapa?

Mbu, kama umemsoma Edson huko juu, ndiko nilikolitoa hilo, bado nalifanyia kazi.
Hebu na wewe nisaidie Mbu!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom