naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

unahitaji maombi ya nguvu kijana....vinginevyo utajikuta umekuwa punga..dah umeshaharibika kijana..unathibutu kuandika umechukua vaseline na kuweka mavidole...huu mchezo naona tayari umeshaufurahia....pole kijana
 
pole lkn tatizo ni kwa nn ulianza kujipima diameta ya ... Acha kabisa kwani inatia kichefuchefu, kama UKO CRIus unataka msaada basi kuomba na kukemea ndo suluhisho
 
in simple language wewe ni GAY!
fantasy yako ni kutiwa nyuma...
and you secretly fancy your brother..
,sababu tunakaa in strictly- STRAIGHT SOCIETY,haya mauchafu yamebaki moyoni mwako kwa siri,huwa unayawaza na yapo akilini,ndio maana yanakujia SUBCONCIOUSLY ukiwa usingizini......yanakuja kama ndoto ila ni matokeo ya uliyokuwa unawaza during the day.....

cha kufanya amua kuwa na mtu(partner)...uishi maisha ya ugay yenye furaha which i know is hard kny jamii yetu,temporary solution ya tatizo lako ni kukaaa mbali na vishawishi vya ngono wkati wa mchana,kuwa occcupied/busy,do exercises in your spare time do sports ama voluntary work kutoa akili yako kny mawazo ya ngono.....usiangalie porn(gay films)........tafuta galfriend wa kudivert mawazo yako ya kingono na kuwa na mtu wa kuwa focused naye!!!.....mwisho jiunge na kanisa kwa msaada wa kiroho,we need holy spirit in our lives to fight evils/temptations.
 
kwani ulipo ingiza kidole cha kati kikaingia haikutosha mpaka upake na kuingiza vdl vngn.
kanisani kuna dawa na kwa babu loliondo.
haileti raha fanya fasta.
naomba nikuulize swali la kizushi.
unampenzi? unafanya nae mapenzi? raha unayojisikia ukiwa unafanya mapenzi na mpz wako ukiilinganisha na ile ya ndoto ipi zaidi?
ukiona maswali yanakuboa usijibu
 
Habarii wana JF. Naombeni wajuzi wa mambo mnijuze ktk hili na nifanye nini hasa niweze kuondokana na hizi ndoto. Ni hivi, mimi ni mwanamume wa miaka 31, toka mwaka 2008 nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na kaka yangu (yaani ananiingilia kinyume na maumb.......l), hali hii ilikuwa inaniudhi sana! na kipindi hicho nilikuwa nikiota nastuka usingizini. hali ikaendelea na sijui ilikuwaje nikaanza kuzizoea hizo ndoto na hata kufurahia hilo tendo. Ajabu ni kuwa kila nikiota namuota ni kaka yangu ndiye ananiingilia (kaka wa tumbo moja na tupo wawili tu ktk uzao). Niandikapo sasa hivi nimetoka kuota ndoto hii na nilikuwa nahisi raha na kufurahia SIJUI NI NINI KINACHOENDELEA KTK MWILI WANGU. Baada ya kustuka toka ndotoni nimejaribu kujiingizia kidole cha kati sehemu zangu za nyuma kimeingia bila shida!!! nikajaribu kujipaka vaceline na kuingiza vidole vyote vinne vimeingia bila shida pia na bila maumivu!!! WANAJAMII HIKI SI KISA CHA KUTUNGA, NAHITAJI MSAADA WENU WA MAWAZO NI NINI HII?? NA NIFANYAJE NITOKANE NA HII HALI??. TAFADHARI KAMA WAONA HUNA MSAADA WA MAWAZO NAOMBA USITOE KASHFA. Afya yangu pia inadhoofu sana. Ahsanteni

Mmmmmh hapo nilipopigilia mswumari umenishtua kidogo, naanza kuhisi kuwa una matatizo ya ubongo.

Dhamira gani imekutuma mpaka kuchukua vaseline, kujitia vidole sehemu zako na hujasikia maumivu ina maana ulisikia rahaaa!

Ww nahisi unashida kubwa na matibabu yako yatakuwa ya muda mrefu maana tayari umeathirika kiakili na unaonyesha unapenda kamchezo hako.

Ushauri: nenda hospitali haraka ukaonane na madaktari watakua ushauri mzuri.
Endeleza ibada kwa dini yako na uombe kabla ya kulala na baada ya kuamka.
 
Misosi i just feel pity for what is happening to you, ushauri wangu kamuone kiongozi wa kidini kwa ushauri na maombi zaidi.
 
mhh jamani nimesinyaamwili mpaka ubongo,halafu tuache kufanya mizaha na matatizo ya wenzetu kama hatuna cha kuchangia bora tunyamaze....ila pole sana kakangu dunia ina majaribu mengi.
 
Jamaaaniii bavu zinauma wachangiaji karibu wote wamemchana huyu ****** kwanza ametudhalilisha wanaume yani umejitia madole na ukafurahia? Upo maeneo gani we punga antmisosi hebu ni pm nije nikupe mpododo badala ya kujitia madole
 
Duh! hakuna msaada zaidi ya kuombewa labda kama mwenyewe unapeda tu. Je kama mtu akitaka kukuingilia bila ndoto hutakubali? maana raha ushaionja tena
 
mhh jamani nimesinyaamwili mpaka ubongo,halafu tuache kufanya mizaha na matatizo ya wenzetu kama hatuna cha kuchangia bora tunyamaze....ila pole sana kakangu dunia ina majaribu mengi.

Nashukuru dada. watu wengine wanakatisha tamaa sana, ila basi ndiyo maisha aisee.
 
Misosi i just feel pity for what is happening to you, ushauri wangu kamuone kiongozi wa kidini kwa ushauri na maombi zaidi.

Nashukuru mkuu kwa ushauri, ahsante pia kwa kutokukimbilia kunihukumu kama wengine wanavyofanya. naona nimepewa mawazo mengi ya sala nimeanza kuyafanyia kazi.
 
in simple language wewe ni GAY!
fantasy yako ni kutiwa nyuma...
and you secretly fancy your brother..
,sababu tunakaa in strictly- STRAIGHT SOCIETY,haya mauchafu yamebaki moyoni mwako kwa siri,huwa unayawaza na yapo akilini,ndio maana yanakujia SUBCONCIOUSLY ukiwa usingizini......yanakuja kama ndoto ila ni matokeo ya uliyokuwa unawaza during the day.....

cha kufanya amua kuwa na mtu(partner)...uishi maisha ya ugay yenye furaha which i know is hard kny jamii yetu,temporary solution ya tatizo lako ni kukaaa mbali na vishawishi vya ngono wkati wa mchana,kuwa occcupied/busy,do exercises in your spare time do sports ama voluntary work kutoa akili yako kny mawazo ya ngono.....usiangalie porn(gay films)........tafuta galfriend wa kudivert mawazo yako ya kingono na kuwa na mtu wa kuwa focused naye!!!.....mwisho jiunge na kanisa kwa msaada wa kiroho,we need holy spirit in our lives to fight evils/temptations.

Nashukuru kwa ushauri dada. ninaufanyia kazi. ahsante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom