naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???

Mkuu nashukuru kwa ushauri ila kwa kweli toka nianzeota ndoto hizi huwa nakuwa nimelala pekeyangu. kiufupi ni kwamba silali naye kitanda kimoja na tupo mikoa tofauti!
Pole sana ila mimi ni katika watu ambao hawaamini kuwa majini wanauwezo wa kuwaingilia watu, japokuwa kuwa watu wenye kuyathibitisha hayo.
Hisije kuwa wewe ni sleepwaker, yaani ni katika wale watu ambao wanafanya mambo au matukio wakiwa usingizini...! Inawezekana hunapenda kujichezea chezea na ndio maana hivyo vidole vinne vimeweza kupita bila shida, kitu ambacho kinaonekana kuwa hiyo sehemu ya haja kubwa imezoea kupitisha na si kutoa tu nje tu.

Nenda kamuone daktari wa akili, wanaweza kukusaidia shida yako. Au kama wanavyo shauri wengine hapa nenda kamuone kiongozi wako wa dini unayo iamini ili akufanyie dua au maombi.
 
Mmmm. pole sana, hiii ni adha kubwa, ni ndoto tu, jaribu kuomba sana na kuikataa hali hii.
 
Pole sana ila mimi ni katika watu ambao hawaamini kuwa majini wanauwezo wa kuwaingilia watu, japokuwa kuwa watu wenye kuyathibitisha hayo.
Hisije kuwa wewe ni sleepwaker, yaani ni katika wale watu ambao wanafanya mambo au matukio wakiwa usingizini...! Inawezekana hunapenda kujichezea chezea na ndio maana hivyo vidole vinne vimeweza kupita bila shida, kitu ambacho kinaonekana kuwa hiyo sehemu ya haja kubwa imezoea kupitisha na si kutoa tu nje tu.

Nenda kamuone daktari wa akili, wanaweza kukusaidia shida yako. Au kama wanavyo shauri wengine hapa nenda kamuone kiongozi wako wa dini unayo iamini ili akufanyie dua au maombi.
Nashukuru kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi. ahsante sana
 
ata mi kdg niwaze kama ivo

io nguvu ya kujipaka mafuta km angekuwa nachukia kwel angejipaka?
sjui lakin bt he z sound like.........

una busara sana
kp t up.

asi alikuwa anajifanyia xpermnt?
dzain anatangaza biashara manake anavyosisitza ...nilisikia raha kweli kweli....pole lakin

habari yake bgrta banaaaaaaa achana na mavsilne na maveseline....niaje babu\/
kesho kuja bas pande i jaman
utakuja?
ebu nichek kwa cm kdg tutete nina neno nawe......usiku u kaka...afu NINA SHDA NAWE...dah una bahat...!!!!!!
Rose1980! Hivi vifupisho vyako kwa kweli vinanipa tabu sana kuvielewa.
 
Mmmmh, umesema ww Mkristo kimbia kwenye maombi haraka sana. Mkabidhi Mungu njia zako, omba rehema yake na ukombozi wake dhidi ya roho chafu hizo.
 
Habarii wana JF. Naombeni wajuzi wa mambo mnijuze ktk hili na nifanye nini hasa niweze kuondokana na hizi ndoto. Ni hivi, mimi ni mwanamume wa miaka 31, toka mwaka 2008 nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na kaka yangu (yaani ananiingilia kinyume na maumb.......l), hali hii ilikuwa inaniudhi sana! na kipindi hicho nilikuwa nikiota nastuka usingizini. hali ikaendelea na sijui ilikuwaje nikaanza kuzizoea hizo ndoto na hata kufurahia hilo tendo. Ajabu ni kuwa kila nikiota namuota ni kaka yangu ndiye ananiingilia (kaka wa tumbo moja na tupo wawili tu ktk uzao). Niandikapo sasa hivi nimetoka kuota ndoto hii na nilikuwa nahisi raha na kufurahia SIJUI NI NINI KINACHOENDELEA KTK MWILI WANGU. Baada ya kustuka toka ndotoni nimejaribu kujiingizia kidole cha kati sehemu zangu za nyuma kimeingia bila shida!!! nikajaribu kujipaka vaceline na kuingiza vidole vyote vinne vimeingia bila shida pia na bila maumivu!!! WANAJAMII HIKI SI KISA CHA KUTUNGA, NAHITAJI MSAADA WENU WA MAWAZO NI NINI HII?? NA NIFANYAJE NITOKANE NA HII HALI??. TAFADHARI KAMA WAONA HUNA MSAADA WA MAWAZO NAOMBA USITOE KASHFA. Afya yangu pia inadhoofu sana. Ahsanteni

Njoo nijaribu kuingiza mkono mzimaaa. Nione kama kweli utaingia. Halafu nitakupa dawa yake.
 
jini mahaba.
msikitin au kansani is best for u.
kaombewe yataisha
uyo jini mahaba anakuja kwa sura ya kakako
KAOMBEWE KAKA.
POLE ennh!

Hakuna jini mahaba wala nini. Huyo ni ****** tu. Anatafuta basha wa kumtia mguu wa tigo. Maana vidole vinne tayari vinaingia. Babu upoooo.
 
inaezekana ikawa ni psychological phenomenon. Je,ushawah kuwa molested when you were young? Or maybe dzain kama una homon za kike flan. Vp una uwezo wa kwenda mnara?
 
Mnara naenda mkuu, bila shida na hata nikistuka toka kwenye hizi ndoto kitu huwa mnara!!
 
Mmmmh, umesema ww Mkristo kimbia kwenye maombi haraka sana. Mkabidhi Mungu njia zako, omba rehema yake na ukombozi wake dhidi ya roho chafu hizo.

Nashukuru mkuu, ntafanya hivo. ahsante sana kwa ushauri
 
Habarii wana JF. Naombeni wajuzi wa mambo mnijuze ktk hili na nifanye nini hasa niweze kuondokana na hizi ndoto. Ni hivi, mimi ni mwanamume wa miaka 31, toka mwaka 2008 nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na kaka yangu (yaani ananiingilia kinyume na maumb.......l), hali hii ilikuwa inaniudhi sana! na kipindi hicho nilikuwa nikiota nastuka usingizini. hali ikaendelea na sijui ilikuwaje nikaanza kuzizoea hizo ndoto na hata kufurahia hilo tendo. Ajabu ni kuwa kila nikiota namuota ni kaka yangu ndiye ananiingilia (kaka wa tumbo moja na tupo wawili tu ktk uzao). Niandikapo sasa hivi nimetoka kuota ndoto hii na nilikuwa nahisi raha na kufurahia SIJUI NI NINI KINACHOENDELEA KTK MWILI WANGU. Baada ya kustuka toka ndotoni nimejaribu kujiingizia kidole cha kati sehemu zangu za nyuma kimeingia bila shida!!! nikajaribu kujipaka vaceline na kuingiza vidole vyote vinne vimeingia bila shida pia na bila maumivu!!! WANAJAMII HIKI SI KISA CHA KUTUNGA, NAHITAJI MSAADA WENU WA MAWAZO NI NINI HII?? NA NIFANYAJE NITOKANE NA HII HALI??. TAFADHARI KAMA WAONA HUNA MSAADA WA MAWAZO NAOMBA USITOE KASHFA. Afya yangu pia inadhoofu sana. Ahsanteni

Usiogope challenge mkuu
 
Usiogope challenge mkuu

Mkuu tatizo watu wengine huwa ni wepesi sana kurukia kwenye conclusions zisizo halisi. na kumfanya muhitaji msaada ajisikie vibaya na hivyo kuwa hawajasaidia kitu zaidi ya kuharibu zaidi.
 
Unaujua huu usemi?? JF kipimo cha uvumilivu????
 
swali moja je kwanini ulijiingiza vidole huko******* ni kwa sabu ulitamani kufanya hivyo au? na je ukiwa macho huwa unawaza uki***** na unafanyaje ukiwaza hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom