- Thread starter
- #61
Aisee pole sana! Unaye rafiki wa kike mkuu?
Nashukuru mkuu, ninaye ndiyo.
Aisee pole sana! Unaye rafiki wa kike mkuu?
Pole sana ila mimi ni katika watu ambao hawaamini kuwa majini wanauwezo wa kuwaingilia watu, japokuwa kuwa watu wenye kuyathibitisha hayo.
Hisije kuwa wewe ni sleepwaker, yaani ni katika wale watu ambao wanafanya mambo au matukio wakiwa usingizini...! Inawezekana hunapenda kujichezea chezea na ndio maana hivyo vidole vinne vimeweza kupita bila shida, kitu ambacho kinaonekana kuwa hiyo sehemu ya haja kubwa imezoea kupitisha na si kutoa tu nje tu.
Nenda kamuone daktari wa akili, wanaweza kukusaidia shida yako. Au kama wanavyo shauri wengine hapa nenda kamuone kiongozi wako wa dini unayo iamini ili akufanyie dua au maombi.
Habarii wana JF. Naombeni wajuzi wa mambo mnijuze ktk hili na nifanye nini hasa niweze kuondokana na hizi ndoto. Ni hivi, mimi ni mwanamume wa miaka 31, toka mwaka 2008 nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na kaka yangu (yaani ananiingilia kinyume na maumb.......l), hali hii ilikuwa inaniudhi sana! na kipindi hicho nilikuwa nikiota nastuka usingizini. hali ikaendelea na sijui ilikuwaje nikaanza kuzizoea hizo ndoto na hata kufurahia hilo tendo. Ajabu ni kuwa kila nikiota namuota ni kaka yangu ndiye ananiingilia (kaka wa tumbo moja na tupo wawili tu ktk uzao). Niandikapo sasa hivi nimetoka kuota ndoto hii na nilikuwa nahisi raha na kufurahia SIJUI NI NINI KINACHOENDELEA KTK MWILI WANGU. Baada ya kustuka toka ndotoni nimejaribu kujiingizia kidole cha kati sehemu zangu za nyuma kimeingia bila shida!!! nikajaribu kujipaka vaceline na kuingiza vidole vyote vinne vimeingia bila shida pia na bila maumivu!!! WANAJAMII HIKI SI KISA CHA KUTUNGA, NAHITAJI MSAADA WENU WA MAWAZO NI NINI HII?? NA NIFANYAJE NITOKANE NA HII HALI??. TAFADHARI KAMA WAONA HUNA MSAADA WA MAWAZO NAOMBA USITOE KASHFA. Afya yangu pia inadhoofu sana. Ahsanteni