Wakubwa shikamooni!! wadogo marahaba hamjambo!! na wale wenzangu habarini za masiku.
Napenda kujitambulisha kwenu katika blog hii. Nawashukuru kwa michango yenu ambayo mingi ni ya kuielimisha jamii.
Asanteni sana kwa ukaribisho wenu.Tuzidi kuijenga na kuirekebisha nchi yetu tukianza kwa uchangiaji wa mawazo na pengine kwa vitendo baadae muumba akizidi kutujalia nguvu na uweza.
Karibu sanaaaaaa pakawa.
Jamani naomba kuuliza huwa mnakutana face to face kwa ajili ya refreshing au tunaishia humu humu ndani tu? I suggest kwa wale walioko sehemu moja siku moja we meet and get to know each other. Ni uono wangu lakini. Naomba nisibadili utaratibu uliopo
Pagumu hapo....UWT or sore UWM (....... wa Mafisadi)! Teh teh teh....karibu sana Pakawa