Naomba ukaribisho

Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
7,661
13,137
Wakubwa shikamooni!! wadogo marahaba hamjambo!! na wale wenzangu habarini za masiku.
Napenda kujitambulisha kwenu katika blog hii. Nawashukuru kwa michango yenu ambayo mingi ni ya kuielimisha jamii.
 
Wakubwa shikamooni!! wadogo marahaba hamjambo!! na wale wenzangu habarini za masiku.
Napenda kujitambulisha kwenu katika blog hii. Nawashukuru kwa michango yenu ambayo mingi ni ya kuielimisha jamii.

Marahaba Pakawa, karibu sana jamvini kwetu na usisahau kumtaarifu na yule pacha wako Paukwa kuhusu jamvi hili mwambie naye anakaribishwa sana. Jisikie huru kuchangia katika mjadala wowote unaoendelea hapa jamvini.
 
Asanteni sana kwa ukaribisho wenu.Tuzidi kuijenga na kuirekebisha nchi yetu tukianza kwa uchangiaji wa mawazo na pengine kwa vitendo baadae muumba akizidi kutujalia nguvu na uweza.
 
Asanteni sana kwa ukaribisho wenu.Tuzidi kuijenga na kuirekebisha nchi yetu tukianza kwa uchangiaji wa mawazo na pengine kwa vitendo baadae muumba akizidi kutujalia nguvu na uweza.

Karibu sana kwenye The Home of Great Thinkers tunaamini tutapata mawazo mengi mazuri kutoka kwako!!
 
Karibu sanaaaaaa pakawa.

Jamani naomba kuuliza huwa mnakutana face to face kwa ajili ya refreshing au tunaishia humu humu ndani tu? I suggest kwa wale walioko sehemu moja siku moja we meet and get to know each other. Ni uono wangu lakini. Naomba nisibadili utaratibu uliopo
 
Pagumu hapo....UWT or sore UWM (....... wa Mafisadi)! Teh teh teh....karibu sana Pakawa
 
Pagumu hapo....UWT or sore UWM (....... wa Mafisadi)! Teh teh teh....karibu sana Pakawa

Eeeheheheh
unadhani hawa tunawaogopa? maana hata wao tunataka ku deal nao maana hata wao ni sehemu hiyo hiyo ya ufisadi. Kwani si unajua yule jamaa wa UWT aliyechota BOT? tena kwa kampuni fake? wala hajafikishw a mahakamani?
Anyway karibu Pakawa. Hapa ndio penyewe na iko siku tutafahamiana woote maana hatutakuwa na majina ya bandia tena kwa vile tutakuwa tumewashinda wezi wa uchumi wa nchi yetu.
Bila shaka tutakutana kwenye party ya kujipongeza na kufahamiana kwamba huyu ni Mwiba na huyu ni mchukia mafisadi.
 
Mapambano yaendelee mpaka kieleweke tumechoka na hawa watu wasio na uchungu na nchi yao wameigeuza kama ni soko la wanyang'anyi sasa ni juu yetu kuzigeuza meza zao na kuwaonyesha biashara yao haikubaliki duniani mbinguni na hata ahera.
 
Wapendwa wanaJF,
Nimefurahi kupata nafasi ya kujiunga nanyi katika mtandao huu.Nitajitahidi kuzisoma makala mbalimbali zinazokuwemo na pia nami kutuma zangu.Ninashukuru sana

Mbauko
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom