Hatimaye mimi ni member humu

MENEMENE TEKERI NA PERESI

JF-Expert Member
Mar 11, 2022
2,539
6,295
Ni takribani miaka mingi, tangu nijulishwe habari za "Jamii Forum " na rafiki yangu nikiwa chuo japo muda wote huo, sikuwahi kuwa member wala kuwa na App ya jamvi hili. Japo nilikuwa mshiriki bubu kupitia "Google".

Nikaribisheni ndugu zangu, wakubwa shikamooni, wadogo hamjambo na rika langu habari zenu.

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI.
 
Ni takribani miaka mingi , tangu nijulishwe habari za "jamii forum " na rafiki yangu nikiwa chuo japo muda wote huo , sikuwahi kuwa member wala kuwa na App ya jamvi hili japo nilikuwa mshiriki bubu kupitia" google"
Nikaribisheni ndugu zangu , wakubwa shikamooni , wadogo hamjambo na rika langu habari zenu

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI.
Karibu sana JF.. A home of great thinkers
 
Karibu mm jina lako nililskia kwenye nyimbo ya boni mwaitege hivi lina maana gani mtumishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom