Naomba kuuliza kuhusu wauza nguo Ilala

Nasibuhamisi

Member
Aug 26, 2023
12
13
Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale Ilala Boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa zimekunjwa vizuri. Je zina ubora upi au kuna kaujanja wanafanya.
 
Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale ilala boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa zimekunjwa vizuri. Je zinaubora upi au kunakaujanja wanafanya.
Wale wanaouza nje wanananunua ndani. Tunakunjaga kila kifungua kumi kumi wakati tunazihesabu
Ingia sokoni ndani Kule ulizia kwa hashimu.. ukifika kwa hashimu mwambie wew ni mgen wake umetoka kwa MJOMBA. unataka "kushusha" mzigo kama "zimepoa"
 
Je na wale wanauoza sagula..za 3000,2000 nk mfano...
Hivi ina faida?reasonable?
Zile za buku tatu zimesimamia elf 1100 kila moja. Ndo mana wana uwezo wa kuzishusha Bei kila siku.

Inalipa lakini uuze kwelikweli, ndo mana sehem wakikaa sagura sagura lazima wafanye fujo kujaza watu ili zichaguliwe sana wauze.

Niliwahi kuielezea humu, nikashuia madini ya maana. Cha ajabu Moderator au YinYang kayabeba madini Yale kaenda kuubganisha na kathridi kadogo tu kenye title "Nataka kuuza mitumba nifanyeje?" 😆
 
Zile za buku tatu zimesimamia elf 1100 kila moja. Ndo mana wana uwezo wa kuzishusha Bei kila siku.

Inalipa lakini uuze kwelikweli, ndo mana sehem wakikaa sagura sagura lazima wafanye fujo kujaza watu ili zichaguliwe sana wauze.

Niliwahi kuielezea humu, nikashuia madini ya maana. Cha ajabu Moderator au YinYang kayabeba madini Yale kaenda kuubganisha na kathridi kadogo tu kenye title "Nataka kuuza mitumba nifanyeje?"
Je mwanamke anaweza kuihimili ile biashara?
 
Back
Top Bottom