Nicheki whatsapp nitakuwa nakuagizia moja kwa moja kutoka Dubai.HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje.
connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
Kama uko Dar es salaam nenda Mnazi mmoja utapata ya kutosha.HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje.
connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
Ahsante sana kwa majibu (msaada)Nicheki whatsapp nitakuwa nakuagizia moja kwa moja kutoka Dubai.
+971527794329.View attachment 2302977
Karibu Kwa maswali mkuu na maoni au ukihitaj ushauri bure kabisa. Ni mjadala huru huuSafi sana
Kadeti zinapatikana mkuu. Nenda ilala boma asubuhi Kati ya saa 1 mpaka 5 utapata. Kama unaweza kusimama kwenye mnada kugombea Kwa kupandisha dau. Au unaweza kufika sehem moja maarufu hapo panaitwa "Ashanti". Ukifikishwa Ashanti Muulizie mtu anaitwa Muba au Ostadhi SELE.nataka Cadet mtumba kali kali zile kwa sh elf 5 nitapata wapi mkuu Karume au ilala boma na mida gani mzuri wa kwenda?
Umejibu vizuri nitaenda na address yako ile hilo eneo la ashanti ndyo umeniacha mana mimi nataka za kuvaa tu.Kadeti zinapatikana mkuu. Nenda ilala boma asubuhi Kati ya saa 1 mpaka 5 utapata. Kama unaweza kusimama kwenye mnada kugombea Kwa kupandisha dau. Au unaweza kufika sehem moja maarufu hapo panaitwa "Ashanti". Ukifikishwa Ashanti Muulizie mtu anaitwa Muba au Ostadhi SELE. Hawa watu wawili wambie umepewa address na MJOMBA. Hao watakuuzia lakini elf 5 Kwa ubora wa ngu zao hawakuuzii. Ni bora uweke bei ya elf 8 (Standard) ambayo itakuruhusu uchague siku ANAYOFUNGUA.
NB. NI BORA UFIKE SIKU ANAYOFUNGUA BALO UPATE NGUO AMBAZO HAZIJACHAGULIWA SANA UKAUZE HARAKA KWA FAIDA NZURI.
Anhaa robota Mara nyingi zinagawanywa Kwa gredi. Kuna gredi A (1), B (2). Hizi zinatofautiana bei kwani gredi B huwa na nguo zlizochoka sana/Chanika kabisa NYINGI. hata bei huwa chini. Pia, hizi robota zinatofautiana nchi I. E Korea, China, Canada, Turkey. Mara nyingi ncchi hizi huathiri Sana Uonekanaji wa nguo (Fasheni, ukubwa au kuchoka).Somo zuri sana bro. Mimi nina maswali machache.
1. Nikitaka kuanza biashara kwa kununua baro, la nguo, viatu na mabegi, nijipange na bei gani makadirio?
2. Nitaamini vipi kwamba ili baro ni quality? Niliambiwa yana bei tofauti tofauti.
3. Je, nitajuaje kama ilo baro limetoka nje (ulaya) isije kua kuna wahuni wanayafunga hapo hapo karume au Kariakoo wanatupiga sisi wageni ila quality wanauziana wanaojuana tu.
cc Sir Midabwada
No easy. Experience ni kitu kikubwa mno....Kumbe kila biashara ina changamoto
Kuweka mtu inawezekana ila jitahid awe muaminif na mzoefu Kwa mana awe na uwezo wa kunegotiate na watu tofauti (Rika, sifa, nk) na uchangamfu. Manake hii biashara hesabu ni mchezo wa kupatana. Nitakupa mikakati mmoja. Wewe pendekeza eneo unalotaka kubobea. Kwa mana Robota huwa zinafungwa kutegemea nguo Husika mfano. Jinzi Za kiume pekee, shati za mikono mifupi peke yake, bukta peke yake, jinzi za kike peke yake, suti peke yake, taulo na MASHUKA peke yake, za watoto peke yake, Kuna Robota hadi za Boksa za mtumba. Kwa Kujua lonya au Uzuri tumia mbinu hiyo hapo juu.Asee ninawaza kama nitaweza hii biashara. Mimi nimeajiriwa niweke mtu anisimamie. Kupata mzigo quality ndio changamoto ilipo nisije nikauziwa balo na malonya matupu.
Kuhusu mtaji mkuu kwa maeneo yote hayo unataka kununua Robota? Yan Robota la tisheti, ununue la mabegi, ununue la suruali alafu ufungue?.Somo zuri sana bro. Mimi nina maswali machache.
1. Nikitaka kuanza biashara kwa kununua baro, la nguo, viatu na mabegi, nijipange na bei gani makadirio?
2. Nitaamini vipi kwamba ili baro ni quality? Niliambiwa yana bei tofauti tofauti.
3. Je, nitajuaje kama ilo baro limetoka nje (ulaya) isije kua kuna wahuni wanayafunga hapo hapo karume au Kariakoo wanatupiga sisi wageni ila quality wanauziana wanaojuana tu.
cc Sir Midabwada