Pole kijana, ndo challenges za maisha. Muambie wakati mmerelax, na mtafute suluhisho. Unaweza kununua mouth wash (Listerin ni nzuri na inapatikana pharmacy) na kumpatia ili kufungua maongezi. Muambie ni hali inayotokea, unampenda na unataka kumsaidia ili tatizo hilo liwaondokee pamoja. Kuna sugar free chewing gums pia ambazo ni kama refreshner, ziko super markets. Ongelea kama tatizo ni lenu wote na inabidi mlitatue. MziziMkavu ukimuona atakuambia mapochopocho ya kutumia,lol
hooooooyiiiiiii, hili ni jukwaa la vichekesho/utani kama unahitaji msaada nenda
kwa daktari wewe vipi.
ujui jf kuna madaktar? Au unadhani wana jf wote wana akili kama yako. Ukiona huna msaada potezea. Umetumia masabur nin? .
King'ast ni mfano wa kuigwa na watu wenye mawaz kama yakendoinafaa 2wenao huk jf
ila wawe rafiki wa kuaminika mana kuna wengine wanaweza kumwambia flani amesema unanuka mdomoDah ukimwambia atafikiri umempata mzuri zaidi yake ndio maana umeanza kumnyanyapaa, hata kama hatakwambia lkn kisaikolojia ataumia sana na atakosa raha. Tumia marafiki zake hiyo itakusaidia.
ila wawe rafiki wa kuaminika mana kuna wengine wanaweza kumwambia flani amesema unanuka mdomo