Naomba kusahdiwa jamani

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Namgenda sana girl friend wangu but ananinyima raha kwani anaharufu mbaya kinywani. Kumwambia nashndwa atahsinamnyanyapaa. Nikikataa anidende anakasirika.
 
Pole kijana, ndo challenges za maisha. Muambie wakati mmerelax, na mtafute suluhisho. Unaweza kununua mouth wash (Listerin ni nzuri na inapatikana pharmacy) na kumpatia ili kufungua maongezi. Muambie ni hali inayotokea, unampenda na unataka kumsaidia ili tatizo hilo liwaondokee pamoja. Kuna sugar free chewing gums pia ambazo ni kama refreshner, ziko super markets. Ongelea kama tatizo ni lenu wote na inabidi mlitatue. MziziMkavu ukimuona atakuambia mapochopocho ya kutumia,lol
 
hooooooyiiiiiii, hili ni jukwaa la vichekesho/utani kama unahitaji msaada nenda

kwa daktari wewe vipi.
 
Ntazingatia ushaul wako thenks
 
hooooooyiiiiiii, hili ni jukwaa la vichekesho/utani kama unahitaji msaada nenda

kwa daktari wewe vipi.

ujui jf kuna madaktar? Au unadhani wana jf wote wana akili kama yako. Ukiona huna msaada potezea. Umetumia masabur nin? .
King'ast ni mfano wa kuigwa na watu wenye mawaz kama yakendoinafaa 2wenao huk jf
 
Dah ukimwambia atafikiri umempata mzuri zaidi yake ndio maana umeanza kumnyanyapaa, hata kama hatakwambia lkn kisaikolojia ataumia sana na atakosa raha. Tumia marafiki zake hiyo itakusaidia.
 
wewe ndio unatumia wowowo kufikiri, kwani hujui kuwa huyu mleta thread kaleta sehemu si yake, yeye alitakiwa aipeleke kwenye jf doctor siyo hapa au na wewe unamatatizo ya kuchanya majukwaa
 
Dah ukimwambia atafikiri umempata mzuri zaidi yake ndio maana umeanza kumnyanyapaa, hata kama hatakwambia lkn kisaikolojia ataumia sana na atakosa raha. Tumia marafiki zake hiyo itakusaidia.
ila wawe rafiki wa kuaminika mana kuna wengine wanaweza kumwambia flani amesema unanuka mdomo
 
Huna haja ya kurefusha mambo. Umpendae mwambie ukweli na umpe mbinu za kukabiliana na tatizo huku ukimsaidia mawazo na kumhudumia pale inahitajika.
 
ila wawe rafiki wa kuaminika mana kuna wengine wanaweza kumwambia flani amesema unanuka mdomo

kweli kabisa mkuu, huyu jamaa anaweza akamtumia binti ambaye hata kama sio rafiki yake na huyo GF ili kuondoa wivu , wanawawake si unawajua? lkn wapo wenye busara na wanaweza kulifikisha vizuri kama kiutani utani.
 
Mkuu nimeenda kule Google nimepata haya hapa, hopes yanaweza kumsaidia:

Ways to Fight Against Bad Breath
  • Brush your teeth and rinse your mouth thoroughly after every meal to remove food particle from the mouth.
  • When you are brushing your teeth, also brush your tongue. The tongue is covered with thousands of tiny hairs that can trap bacteria.
  • Have regular check-ups with your dentist to rule out gum disease and to correct any faulty restorations, overhanging fillings or leaking crowns, all of which can trap food in the mouth.
  • Chew sugarless gum or suck on sugarless lozenges to increase the flow of saliva.
  • If your mouth is dry, drink plenty of water. Try swooshing it around in your mouth for at least twenty seconds to loosen any food particles the bacteria can feed upon.
  • Avoid breath mints and mouthwashes that contain alcohol. Instead of helping, they can make things worse. They only temporarily cover the smell and tend to dry the mouth, creating a more favorable environment for bacteria.
  • Snacking on vegetables such as raw celery or carrots can keep plaque from forming.
  • If you are going to an important meeting or on a big date, avoid foods that can cause bad breath, such as onions and garlic.
  • Avoid alcohol and caffeine consumption, which can dry the mouth.
  • Quit smoking. Tar and nicotine can build up on the surface of the teeth, tongue and cheeks. It can also dry the mouth and inhibit saliva flow.
  • Chlorophyll is a natural breath freshener and is found in leafy green vegetables like parsley.
  • A few drops of peppermint or tea tree oil can be applied to the tongue or toothbrush to help freshen the breath. In addition to its refreshing nature, their antibacterial properties will kill the bacteria found in the mouth.
  • Baking soda has a long history of being used to maintain good oral health and for fighting bad breath.
  • A mixture of 50% hydrogen peroxide and 50% water can be swooshed around in the mouth and used as a mouthwash. Hydrogen peroxide can kill many of the bacteria that can cause bad breath.
 
nunua pakiti ya batook ya mint uwe unatembea nayo. Ukihisi kuna mazingira ya denda patianeni mojamoja, inasaidia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom