Mwanamke wangu ananishurutisha sana nibebe pochi yake barabarani

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,855
Ndugu wana Jf salaam

Ndugu zangu kiukweli nime choshwa na hii tabia ya huyu mwanamke wangu na nime muonya sana na kumkwepa kijanja lakini bado hasikii kabisa.

Ndugu huyu mwanamke kila ninapotoka naye out na tunaongozana analazimisha sana ni mbebe pochi yake na nimshike mkono .

Yani utakuta mkono wa kushoto umemshika yeye na mkono wa kuume ume beba pochi yake, mbaya zaidi ndani ya pochi yake kaweka kila kitu chake cha kike na simu yake humo humo na akitaka kitu utasikia fungua unitolee na nikikataa na kumwambia pokea utoe wewe ni ugomvi njia nzima kwa kweli hadi raha inaniisha

Ndugu nimejaribu sana kumkwepa ila sasa naona anataka kuniendesha kisaikolojia na sijui ana maana gani, kuna mda nikiwa nae utasikia baby nishikie pochi yangu kidogo nataka kwenda kujisitiri na nikishika ni kwisha habari yangu nitaibeba njia nzima mpaka siku iishe na nirudi nayo nyumbani

Hii tabia yake inanikwaza sana mimi

Ndugu huyu mwanamke ni mfanyaje maana kero yake kubwa ni hii ya kubebana na mapochi njiani.
 
...Nimeokota kidude.
 
Pole sana "mbeba" pochi.
Ila ni namna gani huyu mpenzio anajionesha kwa watu kwamba anapendwa na anajaliwa, hapo ukute wewe ni tall kama mimi halafu huyu mpenzio ni mfupi huwa wanapenda saana mambo vya namna hiyo.

Onesha mababa kwake wala usijisikie vibaya au wewe haumuelewi kihivyo huyo mwanamke wako?

Mpe nafasi ila fanya kwa maximum kama wanaume tunavyotakiwa kufanya juu ya hawa wenza wetu.
 
Sioni shida ya kubeba pochi yake, ila sio lazima, ni kwa hiyari na kupenda, akilazimisha sitabeba kamwe.
 
Sa kama wewe unashindwa kumgomea sisi tutawezaje kukusaidia?

Endelea kubeba
Nimemgomea mara kadhaa wa kadha ila kunakipindi atakuambia nataka niingie pale nikajisitiri nishikie pochi mara moja tena mbele za watu, najikaza na mbebe ila akirudi hataki kuipokea na kuiweka chini niachane nayo naona itakua utoto na komaa tuu na nikimweleza ni ugomvi njia nzima na pochi anaisusa
 
Wewe mwanaume unashindwaje kukaza? Kwani una miaka mingapi labda?
Huko kujisitiri huwa tunaenda na pochi zetu, pochi zetu hazijawahi kuwa mzigo hata iwe ni kubwa kiasi gani.

Robert Heriel Mtibeli pale ulivyonijibu kuhusu homoni imebidi nitafakari hapa.
 
Wewe mwanaume unashindwaje kukaza? Kwani una miaka mingapi labda?
Huko kujisitiri huwa tunaenda na pochi zetu, pochi zetu hazijawahi kuwa mzigo hata iwe ni kubwa kiasi gani.

Robert Heriel Mtibeli pale ulivyonijibu kuhusu homoni inebidi nitafakari hapa.
Tatizo mbele za watu naona nitamuaibisha na tumia hekima tuu na busara ila naona ananigeuza mwehu kisaikolojia
 
Pole sana "mbeba" pochi.
Ila ni namna gani huyu mpenzio anajionesha kwa watu kwamba anapendwa na anajaliwa, hapo ukute wewe ni tall kama mimi halafu huyu mpenzio ni mfupi huwa wanapenda saana mambo vya namna hiyo.

Onesha mababa kwake wala usijisikie vibaya au wewe haumuelewi kihivyo huyo mwanamke wako?

Mpe nafasi ila fanya kwa maximum kama wanaume tunavyotakiwa kufanya juu ya hawa wenza wetu.
Asante mkuu. Mahaba sawa mkono na mshika na barabara na mvusha ila na lipochi juu tena ndugu yangu siutumwa huu sasa
 
Ndugu wana Jf salaam

Ndugu zangu kiukweli nime choshwa na hii tabia ya huyu mwanamke wangu na nime muonya sana na kumkwepa kijanja lakini bado hasikii kabisa.

Ndugu huyu mwanamke kila ninapotoka naye out na tunaongozana analazimisha sana ni mbebe pochi yake na nimshike mkono .

Yani utakuta mkono wa kushoto umemshika yeye na mkono wa kuume ume beba pochi yake, mbaya zaidi ndani ya pochi yake kaweka kila kitu chake cha kike na simu yake humo humo na akitaka kitu utasikia fungua unitolee na nikikataa na kumwambia pokea utoe wewe ni ugomvi njia nzima kwa kweli hadi raha inaniisha

Ndugu nimejaribu sana kumkwepa ila sasa naona anataka kuniendesha kisaikolojia na sijui ana maana gani, kuna mda nikiwa nae utasikia baby nishikie pochi yangu kidogo nataka kwenda kujisitiri na nikishika ni kwisha habari yangu nitaibeba njia nzima mpaka siku iishe na nirudi nayo nyumbani

Hii tabia yake inanikwaza sana mimi

Ndugu huyu mwanamke ni mfanyaje maana kero yake kubwa ni hii ya kubebana na mapochi njiani.
Unashindwa kukataa?
 
Back
Top Bottom