BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,495
Hongereni wote mliofanikisha kupata wenza wenye mapendo ya kweli once again happy valentine na kila la heri kwenye mahusiano yenu.
Ushawahi kusikia mtu anakwambia kuwa single raha huyo mtu ni mnafiki promax hakuna kitu kama hicho kwa binadamu aliyekamilika. Kila mtu anahitaji kuwa na mtu anayempenda yaani unampa upendo anakupa upendo na kimsingi upendo ni zaidi ya kuzagamuana it's about caring katika situation zote.
Kwa upande wangu BabaMorgan nipo kwenye struggle za kumtafuta the only one but along the way nimegundua love ni complicated sana unaweza pata Mwanamke ukampenda lakini yeye hakupendi au ukapata mwanamke anayekupenda lakini binafsi unamkuta humpendi hiyo ndio trend ya mahusiano yangu mpaka sasa.
Naomba nihitimishe kupata mtu mnayependana sio kitu chepesi sometime ni kama bahati tu.
But all I want for valentine day is Big booty hoes..