Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

Kwa sasa kuna huyu bwana anaitwa ChatGPT, ukimtumia vizuri kuandika articles na copywriting ukauza ujuzi wako mtandao kama freelancer.com unaweza kuingiza ela ya kutosha hata laki 2-3 kwa wiki. La msingi ni ukomae huko upate client. Ila mwanzo mgumu ila ukikomaa pia ukaongeza jinsi ya kuitumia kuandika articles zenye vigezo vya SEO utakuwa safe side.
Articles zenye vigezo vya SEO zinakuwaje kuwaje?
 
Sio mambo ya vijana na utaalamu kama utaalamu mwingine na ni kazi ambayo inawaingizia mamilion ya ela watu huko kwa mwezi. Kwani wazee nyie hampendi pesa?
Sasa mada ni zipi? Je, hizo articles zinatakiwa kuwa habari/news au nini?
 
Hapo ndipo yafaa uingie chimbo usome uchukue muda usome uelewe maana si kitu utaelezwa tu hapa jf uwe expert. Kuna niche nyingi tu za kuandikia hivyo mada ni nyingi tu ili mradi articles zako ziwe informative mtu akisoma na kesho arudi.
Jifunze keywords ranking, jifunze external links na internal links, back links, jinsi ya kuformat articles, jinsi kuandika titles za articles chagua niche unayoimudu. Sio kazi ya kuingia leo halafu eto ufhani utapga pesa baada ya mwezi. It takes time and patience and consistency
 
Ooh sasa hilo chimbo la kujifunza ni wapi kijana?
 
Sikushauri kubet. Jifunze kutrade forex kwa kutumia robot kwanza huku ukijifunza manual. Hutapoteza mtaji wako ng'o.
Ukihitaji hiyo njoo inbox
Huu siyo wizi kweli? Wewe umefaidika nini tangu umeanza ku trade?! (Kuwa mkweli)
 
Ooh sasa hilo chimbo la kujifunza ni wapi kijana?
Mtandaoni kuna kila kitu ukiona haitoshi nenda udemy lipia ule course. Lakini mtandaoni kuna tools kibao na sources za kujifunza ni muda wako tu.
But kumbuka blogging inalipa zaidi wanaofanya kitu kwa passion kuliko wanaofanya for money huwa wanaquit kabla ya mafanikio
 
Oooh nimekuelewa.! Udemy ni wapi kijana? Mimi najua sitoweza ila angalau kijana wangu akajifunze.
 
Mkuu udemy.com ni mtandao unaotoa course mbalimbali kwa malipo. Angalia courses zenye review zaidi. Ila kumbuka usimfanye asome kitu asichopenda hakitomlipa.
Haya mambo pia yanahitaji passion maana yanachukua muda kulipa na hapo sasa kama huna passion nayo utaquit.
Mimi blogging imenishinda kwa sababu sina passion nayo naona inanichelewesha.
 
Back
Top Bottom