Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

Basi wakishaanza kutoa huko kwenye accounts tujulisheni humu vijana maana tunasubiria hapa
 
Kwa tuliopata first batch nadhani mnakumbuka ilikuwaje.. Mida kama hii waliandika kwamba hatujapata ila baadae mambo yakawa fresh. Naamini kabisa hata leo system zitakaa sawa tuache kutisha washkaji ambao wanaosubiri batch two #sio_poa

Bora ya leo mnaambiwa "wait" kuliko ule ujumbe mwekundu wa siku yetu

Tusubiri wazee...
Screenshot_20201111-172711.jpg
 
Kwa tuliopata first batch nadhani mnakumbuka ilikuwaje.. Mida kama hii waliandika kwamba hatujapata ila baadae mambo yakawa fresh. Naamini kabisa hata leo system zitakaa sawa tuache kutisha washkaji ambao wanaosubiri batch two #sio_poa

Bora ya leo mnaambiwa "wait" kuliko ule ujumbe mwekundu wa siku yetu

Tusubiri wazee...View attachment 1628632
Sawa mkuu tunaendelea kuwa wavumilivu
 
Nimesoma taarifa hii ya leo walopata mkopo mpk sasa ni 52,473 wa mwaka wa kwanza wamepangiwa mikopo

Naomba kuuliza hv bodi mwaka huu walisema wanafunz wangapi waliomba mkopo nataka nijue wangapi watakuwa wamekosa?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom