GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 142
- 165
Habari JF,
Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata?
Maana naona kimya kimetanda na vyuo vimeshafunguliwa huku wanaoambiwa wasubiri ni diploma peke yao.
Tamko la mwisho nililolisikia ni khs shahada ya kwanza peke yake, ambalo walisema "Idadi ya wanafunzi wapya waliopangiwa yafikia 73,078.
Kufuatia kutangazwa kwa Awamu ya Tatu, jumla ya wanafunzi wapya wa shahada za kwanza waliopangiwa mikopo imefikia 73,078 na thamani ya mikopo yao ni TZS 210.8 bilioni."
Mwenye update yoyote naomba aniambie au kama nimekosa basi nijue.