Nani yuko nyuma ya 'personal attacks' dhidi ya Mwigulu na Makonda jana Star TV kipindi cha Ajenda?

Upo sahihi kabisa.ni lazima tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote na tusikubali watu wachache kuwadhalilisha viongozi wetu na chama chetu. Lakini pia watanzania tujifunze kukosoana kwa hekima ,busara na staha na siyo kudhalilishana kwa chuki binafsi tu.
 
Na wewe nenda Tbc kamshambulie Kama alivyowashambulua mabwana zako!.
Hakumshambulia mtu, alisema "CCM inawaacha watu wenye akili, inachukua wasio na akili" Alitolea mfano nchi ya China miaka ya 70 walivyoamua kutumia watu wachache wenye akili kuleta mabadiliko. Pia alisema USA huwatumia watu wenye akili kuleta mabadiliko. Na alisema kuna jamaa alisoma na Mwingulu alikuwa ana akili sana, CCM ikamchukua Mwingulu na yule mwenye akili akachukuliwa na USA.
 
Jana siku ya jumatatu tarehe 21/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA ,mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes,lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu tu.
Alisemaje ambao hatukutazama?
 
Upo sahihi kabisa.ni lazima tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote na tusikubali watu wachache kuwadhalilisha viongozi wetu na chama chetu. Lakini pia watanzania tujifunze kukosoana kwa hekima ,busara na staha na siyo kudhalilishana kwa chuki binafsi tu.
Mnapenda Uongo Hadi Uongo umekuwa ukweli kweli hadi mmesahau ukweli unafananaje ...mkiambiwa ukweli manona mmeshambuliwa.
 
Hakumshambulia mtu, alisema "CCM inawaacha watu wenye akili, inachukua wasio na akili" Alitolea mfano nchi ya China miaka ya 70 walivyoamua kutumia watu wachache wenye akili kuleta mabadiliko. Pia alisema USA huwatumia watu wenye akili kuleta mabadiliko. Na alisema kuna jamaa alisoma na Mwingulu alikuwa ana akili sana, CCM ikamchukua Mwingulu na yule mwenye akili akachukuliwa na USA.
Aisee Kumbe rahisi tuu!ndo personal ataack hiyo!
 
Jana siku ya jumatatu tarehe 21/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA ,mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes,lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu tu.
Ufalme ukijifitini huanguka bila shaka
 
Makonda alisema hivi majuzi, mtu akishindwa kujibu mashambulizi akamuuulize mama yake!
 
Back
Top Bottom