Nani yuko nyuma ya 'personal attacks' dhidi ya Mwigulu na Makonda jana Star TV kipindi cha Ajenda?

sasa waziri kila siku ni kuibua kodii mpyaa kwa maskini...kutangaza kuomba mikopo kilaa sikuuu...ripoti za CAG zinasema wizii unaotekea huko halmashauri sijui kwenye miradi yeye hata kupush watu washughulikiwee hamnaaa.. kuombaa helaa zije kupigwaa tu
Si ndo linaiba hilo li waziri, afu linanunua mabus ya abiria, afu linajifanya lizalendo na skafu zake uchwaraaa, mfyuuuh.
 
Kama ni kweli alisema hivyo.basi ni vizuri akaitwa atoe maelezo ya wenye akili na wasio na akili.
Sijasikia kipindi siwez kuhukumu kuwa labda mtu alishambuliwa au la.ila kama utaratibu huwez kushambulia mtu personal .
Mkuu kijana alitumia hayo maneno makali, huyo kijana aligharamikiwa kufanya hivyo, sio kawaida
 
Hakumshambulia mtu, alisema "CCM inawaacha watu wenye akili, inachukua wasio na akili" Alitolea mfano nchi ya China miaka ya 70 walivyoamua kutumia watu wachache wenye akili kuleta mabadiliko. Pia alisema USA huwatumia watu wenye akili kuleta mabadiliko. Na alisema kuna jamaa alisoma na Mwingulu alikuwa ana akili sana, CCM ikamchukua Mwingulu na yule mwenye akili akachukuliwa na USA.
Jomba kusikiliza na kutafsiri ni vitu viwili TOFAUTI, umesikiliza tafsiri imekushinda
 
Jana siku ya jumatatu tarehe 21/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA ,mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes,lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu binafsi tu.
Ndugu mimi nilisikiliza vizuri kipindi chote, hapa usitake kuchonganisha na kutia chuki.

Mbona alikuwa anamsifia Mwigulu kwa kupata first class hiyo haujaisema. Ila anapokosolewa inakuwa nongwa?

Kwa ufupi alikuwa anajadili na kuhoji majukumu anayoyafanya Makonda je yako ktk miongozo ya chama? Au ni kutafuta sifa za kisiasa kwa kupitia matatizo sugu yaliyowalemea wananchi yakiwa yamesababishwa na mfuno mbovu wa chama cha mapinduzi?

Hapa kosa lake liko wapi?
ACHA UCHAWA, UKUPE NA SASA MNAELEKEA KUWA VIRIBOTO
 
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA, mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes, lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu binafsi tu.
Kama huu ni mtazamo wako na AUS naye alitoa mtazamo wake, usimpangie cha kusema.
 
Mshana Jr sipingi utoaji wa maoni, napinga lugha kali yenye kudhalilisha dhidi ya walengwa
Hao walengwa mbona na wenyewe hawana lugha za staha. Unakumbuka huyo Mwigulu wako aliwahi kuichana hotuba ya waziri kivuli wa fedha ndani ya Bunge na kumtolea maneno ya kashfa Waziri kivuli wa fedha Zitto Kabwe. Na huyo Makonda ni juzi tu hapa kamtolea mwandishi wa habari lugha chafu kumwambia akamuulize mama yake hilo swali. Hivi watu wa jinsi hii wanastahili heshima kweli? Heshima ni kuheshimiana.
 
Ndugu mimi nilisikiliza vizuri kipindi chote, hapa usitake kuchonganisha na kutia chuki.

Mbona alikuwa anamsifia Mwigulu kwa kupata first class hiyo haujaisema. Ila anapokosolewa inakuwa bingwa?

Kwa ufupi alikuwa anajadili na kuhoji majukumu anayoyafanya Makonda je yako ktk miongozo ya chama? Au ni kutafuta sifa za kisiasa kwa kupitia matatizo sugu yaliyowalemea wananchi yakiwa yamesababishwa na mfuno mbovu wa chama cha mapinduzi?

Hapa kosa lake liko wapi?
ACHA UCHAWA, UKUPE NA SASA MNAELEKEA KUWA VIRIBOTO
Kama ulisikiliza basi hukuelewa ,kwa kuwa kipindi kiko recorded, nashauri urudie kusikiliza vyema,kadhalika wapo watakaofuatilia hayo maudhui ya hicho kipindi,dunia ya utandawazi hii
Fuatilia makala zangu zote sina chembe ya uchonganishi hata chembe
 
hao walikuwa PERSONALLY ATTACKED ndio mabingwa wa kuwafanyia wengine hizo PERSONAL ATTACK, hao wawili ni mabingwa wa vijembe, na matusi kwa kila aliye kinyume nao, historia zao ziko wazi, kwahyo kilichotokea jana ni TASTE OF THEIR OWN MEDICINE au tuseme little karma.. maana wao ni mabingwa pia wa kutukana na kudhalilisha watu.
 
Kama huu ni mtazamo wako na AUS naye alitoa mtazamo wake, usimpangie cha kusema.
Hakuna sehemu nimempangia AUS kuhusu mtazamo na maoni yake, bali nimetoa maoni yangu dhidi ya maoni yake tu
 
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA, mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes, lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu binafsi tu.
acha watu wateme nyongo, acha mambo yako ya kijinga
 
Jomba kusikiliza na kutafsiri ni vitu viwili TOFAUTI, umesikiliza tafsiri imekushinda
Kwa kukuongezea alisema " USA wanatakwimu ya watu wenye akili, na katika uchaguzi wao wanaotoa maamuzi ya nani awe Rais hawazidi zaodi ya 240"
 
"Muungwana akivuliwa Nguo hasimami huchutama"

Hakuna Hata mmoja aliye sawa muda wote, unataka asikosolewe ili iweje?
Hivi ndo tulichowapeleka kusoma na kumaliza kuku, mbuzi na Mifugo yetu na mashamba mje kutetea Ujinga?
Ukimaliza kuandika hapa huwa unarudia kusoma ulichoandika?

Mungu ibariki Tanzania...

Mungu mbariki baba wa Taifa aliko alitabiri kweli kuwa Tuna tatzo la "UJINGA,UMASKINI NA MARADHI"

Hawa jamaa wanafikiria kuwa viongozi ndio wamepewa hati miliki ya Tanzania. wakisemwa wanatabia ya kuchukua maamuzi magumu kweli kweli
 
Jana siku ya Jumatatu tarehe 20/11/2023 kilikuwepo kipindi cha ajenda kuanzia around saa nne usiku, kikiongozwa na mwanahabari ALLOYS NYANDA.

Mwalikwa katika kipindi hicho alikuwa kijana mmoja alitajwa kwa jina la AUS.

Kipindi kilijadili ziara ya MAKONDA kanda ya ziwa kama katibu mwenezi.

Kilichofanyika ni kumshambulia personal MAKONDA, mashambulizi yalikuwa makali sana .

Mwalikwa ndani ya kipindi hakuishia hapo akaingia kwa Mwigulu pia,nako alitoa maneno makali sana dhidi ya MWIGULU NCHEMBA, ukweli alimdhalilisha sana.

Nchi hii tuna uhuru wa kutoa maoni yes, lakini mtoa maoni wa jana,alikuwa planted na watu flani, ndani ya CCM au nje ya CCM kwa lengo flani la kisiasa.

Imani yangu hata muandaa kipindi hilo alikuwa analijua fika.

Nimalize kwa kusema, aliewashambulia jana personal kina MAKONDA na MWIGULU NCHEMBA ,alikishambulia chama cha mapinduzi na mamlaka ya uteuzi kwa ujumla.

CCM ifanye uchunguzi kujua nani wapo nyuma ya AUS ,( mwalikwa ndani ya kipindi hicho),na ichukue hatua kali dhidi yao mapema kabisa.

Mwisho kabisa huu unabaki kuwa ni mtazamo wangu binafsi tu.
Weka conversation tuone
 
Alichosema ni ukweli au uongo?
 
Back
Top Bottom