Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

Hii ndiyo nini? Au mmenogewa na mahubiri ya mchungaji na kuanza kunena kwa lugha!
Haaaaa mi mwenyewe sijui wameniambukiza, nimeshtuka nshaanza kuongea kama wao sijui ki yahudi hicho haa haaa wachungaji wengine bwana sijui ma upako au nini.
 
WanaJF naomba tu niwaulize swali hili,maana siku hizi kila kukicha tunaona post za ajabu na vile vile kuna zile zilizokwenda shule,na ili watu wajitathmini naomba tu wewe msomaji utakayepitia hapa ujaribu kuandika majina japo mawili matatu ya wale wanaokuvutia kwa post zao na sio mbaya ukatoa na sababu ni kivipi wanakuvutia ila sio lazima na kama kuna anayekukera naye sio mbaya ukimuandika ili members tujitathmini na tujielewe tunavyoonekana katika jukwaa hili.Na kwa kuanza mimi huwa navutiwa sana na post za Dark City aka babu na bibie Afrodenzi bila kumsahau mtani wangu LoyalTzCitizen.Naomba kuwakilisha ,ni mimi Paka Mweusi

Hii thread yako haina maana yoyote we paka mweusi. Wewe weka mada yenye akili hapa tujadili
 
moyo wataka majibu,
kimwana uje nitibu,
mwenzako wanipa taabu,
kwa kihoro cha zabibu,
uje unipezo mbivu,
nishamaliza uvumilivu,
moyo wangu uchakavu,
wameniweka rizevu,
uje kunipa faraja,
nigeuze niwe teja,
kwa penzi lako la haja,
nifiche kwa yako mapaja.
wasije wale mashoga,
mapenzi kuya vuruga,
tukakosa kujichunga,
mwishowe nikawa mega.


Mtoto msikie kijana Ban penzi umtunuku
Tunajua zako tabia hasa za kudandia tukutuku
Yeye atakupatia yako moja maskani uthubutu
Wako wengi watajigonga na ila kwako hawafurukuti,
Kama yupo mwingine analeta mushkari tutamgeuza kuti
Kijana kwa mikogo anatisha jitahidi kumwona ktk yake suti
 
kwani wewe sio demu?

mimi naona Demu ni jina la kihuni na si sawa kumwita msichana yeyote hivyo...
ni sawa ukiwa unaongea na marafiki zako wengine wa kiume namna hiyo....
kama kuna wengine wanapenda kuitwa hivyo hiyo safi..
binafsi silitaki...
kama huwezi kunipa jina la kheshma niite Afrodenzi ...
samahani kama nimekukwanza lakini napenda kuweka things straight forward from beginning...

AD
 
Ha ha ha ha ha ha hii ni comment yako ya 2 sitohisahau hata kama ni kiipa JF kisogo ya kwanza ni ile uliyomwambiaga jamaa akupe avatar ya mzazi wake uweke kama ile ilikuwa inamkera.....



Mzazi nipo sema siku hizi siko active kivile kwa vile JF imeingiliwa kiasi flani kuna vijamaa vya uswazi vina ID kama 10 kati ya hizo 7 ni za kike wanakejeli na kutukana hovyo hovyo



Ila mimi sijabadili baba Mchungaji



Nkinki chi mmeku oko kanyi

Hao walobadili ID zao nakujiita za kike watakua 50, 50 hao, haiwezekani mwaume wa ukweli ajipe jina la kike, hao wanajinsia mbili, au ndo hivyo hamsini hamsini mpaka wa bustiwe.
 
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri Sep 2010LocationUkune,Posts790Thanks129Thanked 263 Times in 180 PostsRep Power22
Ngoja nijitathmini mwenyewe leo hii,thanked 263 times in 180 posts,na nimeshatuma 791 posts,hivyo sio mbaya kwa kuwa nina average ya thanks moja kwa kila post tatu.Malaria Sugu una uwiano upi?
 
Back
Top Bottom