Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

Hebu wahi uje huku utimize wajibu wako. Usisahau mkongojo wangu, ee *****...?

usijali babu....
je ile miwani bado unayo au unataka mpya...???
maana mmmmhhhh.
siujui unafanyiaga nini hizo miwani...
kila wiki mpya...
 
Macho haya mama, yameshachoka. kila siku mawani mpya kwa ajili ya kuangalia vizuri wakati wa ukaguzi.....
 
mmmhhh Rev nimesema babu hakaguagi wajukuu zake.....

Hapa ulikuwa unamjibu Mchungaji

mmmmhhhh Babu Asprini kazi yake nikukagua tu... hakuna lingine...
anaheshimu wajuukuu lakini lol
hahah

Ama alikuwa anakagua ukajisahau

Kama haitoshi anayeitwa babu poa akasema ukweli

Macho haya mama, yameshachoka. kila siku mawani mpya kwa ajili ya kuangalia vizuri wakati wa ukaguzi.....
 
Huyu mchungaji wa kondoo wa kike anapoteza kondoo wa Bwana.Nimetumwa kuja kuwakomboa hawa wanakondoo.

Hahahahahaha Mkuu unanikumbusha kisa cha Mpemba mmoja kariakoo miaka ya nyuma,alitaka kuibiwa na kibaka wakati anaingia kwenye basi,basi yule mpemba kwa hasira akashuka katika lile basi na kisha akamweleza yule mwizi " yaani we kijana unataka kuniibia mimi basi leo naahirisha mambo yangu yote nakuchunga wewe na nakuhakikishia leo humuibii mtu hapa".Na kweli kila basi lililokuwa likifika kituoni mpemba anatangaza "eeeeh jamani polepole kuna mwizi hapa".Mpaka mwizi akaamua kubadilisha sehemu ya mawindo yake.
 
Macho haya mama, yameshachoka. kila siku mawani mpya kwa ajili ya kuangalia vizuri wakati wa ukaguzi.....

najua unafanya kazi ngumu sana babu...
naomba umweleze Rev hukaguagi wajukuu zako ....
hahah lol
 
Hahahahahaha Mkuu unanikumbusha kisa cha Mpemba mmoja kariakoo miaka ya nyuma,alitaka kuibiwa na kibaka wakati anaingia kwenye basi,basi yule mpemba kwa hasira akashuka katika lile basi na kisha akamweleza yule mwizi " yaani we kijana unataka kuniibia mimi basi leo naahirisha mambo yangu yote nakuchunga wewe na nakuhakikishia leo humuibii mtu hapa".Na kweli kila basi lililokuwa likifika kituoni mpemba anatangaza "eeeeh jamani polepole kuna mwizi hapa".Mpaka mwizi akaamua kubadilisha sehemu ya mawindo yake.

hahahahhahhahahah lol
umenichekesha sana lol
 
The Following User Says Thank You to Paka mweusi For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
Mama unapoteza muda kubishana na redio. Hebu wahi huku bana...........

hahahah lol babu wewe umeanza ae lol
mie nasubiri mpaka ungate kucha za mikono kwanza...
halafu mi ntamalizia za miguu..
kwa sababu najua kuinama huwezi...
 
Navutiwa sna na Afrodenzi na wengineo woootee:teeth:

Na wewe huwa unanivutia sana hasa pale unapojitokeza na kujificha,ila naomba nikuulize tu mama,humu ndani kuna jukwaa huwa watu wanaliita jukwaa la Maria Roza,nimejaribu kulitafuta sijaliona naomba unielekeze ni jukwaa gani hilo?
 
mmmmhh Paka mi nikipotea we wajua niko wapi...lol
 
Back
Top Bottom