Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

Na wewe huwa unanivutia sana hasa pale unapojitokeza na kujificha,ila naomba nikuulize tu mama,humu ndani kuna jukwaa huwa watu wanaliita jukwaa la Maria Roza,nimejaribu kulitafuta sijaliona naomba unielekeze ni jukwaa gani hilo?

Unanivutia sn nawe japo naogopa sna Paka mie! jukwaa linaitwa la mambo ya kikubwa ukitaka kuingia huko mtumia private sms Invisible nae atakuwezesha ila ni kutamu sna huko ukiiingia huwezi juta!
 
Nikufanyie nini basi ili uache kuogopa Paka Weusi,pia nashukuru kwa kunikaribisha huko sasa nikija huko utanikaribisha?
 
Kwako wewe tena mpenzi,,,! nikishindwa kujua naona nitakula kamba nifilie mbali,Wewe kwangu ni sawa na nauli yangu niwapo safarini bila ya wewe hakuna safari.

mmmhhh paka maneno mazito sana hayo baba watoto....
miaka 10 ndani ya hii ndoa yetu sijui kama utakuwa unayasema haya...lol
lakini mmmhhhh nikumbatie tu yaishe :hug::hug:
 
Shaka ondoa cause I am a a man of my words na huwa sibadiliki,hayo maneno sitayasema baada ya miaka kumi tu,bali muda wote ambao mungu atatujaalia uhai,ila nasikitika kuna neno ambalo nitashindwa kukwambia kila siku nalo ni
WILL YOU MARRY ME?:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
mmmmhhh wewe Paka embu acha hivyo..
hilo neno hata kuliandika tena sitaki ..
linanitisha ndugu yangu mmmmhhhh
umeandika hapo ka vile kweli..
naliogopa hili neno...
we usije kunipa magonjwa ya moyo...mmmmmhhhhh hilo neno hatari sana...
kweli naogopa sana siku ka hiyo ikijatokea maishani mwangu....
 
Mapenzi mama, mapenzi ni kitu muhimu sana.
 
ni kweli baba watoto mapezi ni muhimu sana tena sana lakini hilo neno hilo mmhhh scares hell out of me..
ingekuwa siliogopi hilo neno mie siku nyingi..
lakini hilo neno mmmhhh usijali nalizoea taratibu tu...
mdogo mdogo tu au vipi??
 
Tutafika tu usitie shaka...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom