Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

sasa tutaanza kukaa tena vikao vyetu pale migombani maana wewe na nguli tumewapata sasa ni kazi kumsaka geof na kumualika mpwa mpya superstar tehe tehe
Ewaaaaaaaa...uchaguzi umepita sasa kazi imebaki moja....Eat them beers!
 
WanaJF naomba tu niwaulize swali hili,maana siku hizi kila kukicha tunaona post za ajabu na vile vile kuna zile zilizokwenda shule,na ili watu wajitathmini naomba tu wewe msomaji utakayepitia hapa ujaribu kuandika majina japo mawili matatu ya wale wanaokuvutia kwa post zao na sio mbaya ukatoa na sababu ni kivipi wanakuvutia ila sio lazima na kama kuna anayekukera naye sio mbaya ukimuandika ili members tujitathmini na tujielewe tunavyoonekana katika jukwaa hili.Na kwa kuanza mimi huwa navutiwa sana na post za Dark City aka babu na bibie Afrodenzi bila kumsahau mtani wangu LoyalTzCitizen.Naomba kuwakilisha ,ni mimi Paka Mweusi


mmmmhh baba watooo
unataka kunipa magonjwa ya moyo au ndo vipi tena..
watoto bado wachanga sana nani atawanyonyesha ..??
hahahahahah lol
asante sna mkuu.. na we ubarikiwe hata mi napenda gana poster zako na picha unazowekaga....
 
Mchungaji hebu ntake radhi. mi kikojoleo changu ni cha kushikilia bana. Afu nshakula chumvi ya kutosha....

Hahahaahah nasikia ulilewa siku moja ukaingia choo cha kike! Ili kuuwa so ulichuchumaa kufanya mambo
 
hahahahahaaa..tumekukamata mpwa, siku hizi gongo mtindo mmoja mitaa ya migombani.

Kuna swali nimemuuliza mchungaji bado sijapata jibu,hivi kama wewe ni mfanyabiashara wa gongo na akaja mwizi akakuibia gongo yako yote,utamshitaki wapi?
 
mmmmhh baba watooo
unataka kunipa magonjwa ya moyo au ndo vipi tena..
watoto bado wachanga sana nani atawanyonyesha ..??
hahahahahah lol
asante sna mkuu.. na we ubarikiwe hata mi napenda gana poster zako na picha unazowekaga....



Mashalaaaah, naona leo umeniita kwa cheo changu kabisaaaaaaa subiri kidogo nikutafutie dedication ya kusindikizia ujumbe huu.
 
Sijui huyu Burn kalala wapi jana, basi kaamka na mi hasira yakee anatwanga tu linalokuja kichwani, atakua kapigwa kibuti na darii wake huyu.

moyo wataka majibu,
kimwana uje nitibu,
mwenzako wanipa taabu,
kwa kihoro cha zabibu,
uje unipezo mbivu,
nishamaliza uvumilivu,
moyo wangu uchakavu,
wameniweka rizevu,
uje kunipa faraja,
nigeuze niwe teja,
kwa penzi lako la haja,
nifiche kwa yako mapaja.
wasije wale mashoga,
mapenzi kuya vuruga,
tukakosa kujichunga,
mwishowe nikawa mega.
 
Back
Top Bottom