Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
mvalie kanga moja bila chup*
ndio nini sasa!
mvalie kanga moja bila chup*
Haaa!! Au atoke kama alivyozaliwa kabisa.mvalie kanga moja bila chup*
ndio nini sasa!
Mtego!
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Kila mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi, tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikikomaa huzaa mauti. Mwamini Mungu akutoe katika utumwa wa dhambi. God loves you!!
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
I hope si wangu, i can really kill.
eeh, unahatari wewe, wenzako wakija kubanana hapo kwako utafurahi kweli ?Preta mjini kubanana hapa
so we should expect MautiToo late, dhambi ishakomaa.
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.