Namzimia mume wa jirani

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Kila mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi, tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikikomaa huzaa mauti. Mwamini Mungu akutoe katika utumwa wa dhambi. God loves you!!
 
Kila mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi, tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikikomaa huzaa mauti. Mwamini Mungu akutoe katika utumwa wa dhambi. God loves you!!

Too late, dhambi ishakomaa.
 
Wewe nakufananisha na mwindaji haramu, ukishikwa kifungo chake si chini ya miaka 30 jela.
 
We NOT ENOUGH! Tujuze kwanza kama umeolewa au hujaolewa ndipo nitakapo thubutu kukupa namna ya kumpata mume sawa na huyo wa jirani yako.
 
Mijike ya namna hiyo ipo mengi kweli. Nenda jim, nenda outings, nenda ofcn kila mahali. Wanaume wenye ndoa wanachangamoto kubwa sana. Sio huyo tu msameheni bure. Mimacho ipo mingi sijui kwa nini. Hivi wanawake wakisema no to sex and HIV dunia ingekuwaje. Leo ukiamua kutongoza kumi ni lazima utapata kwa uchache saba.
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Mmmmh!,nakumbuka ule,
wimbo wa taarabu unasema,
''wengine si wanawake, vikwekwerekwe!''!!!!!!!!!
 
think twice before you do anything. so what. unamwangalia angalia mume wa mwenzio na kama ni wako na mwingine anamwangalia angalia what could have done
 
Je umetumia mbinu gani hadi sasa ili wataalam wa anga hizo wakupe zile kali zaidi??Tufahamishe.
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Mimi nadhani ungefanya description ya mme huyo au ungeweka picha yake ili baadala ya kuchukua mme wa mtu tungemwangalia na kukutafutia mbadala wake. Nina rafiki yangu anaweza kukumaliza kiu ya tamaa. Sio mbaya kwani we ni binadamu
 
Back
Top Bottom