Namzimia mume wa jirani

Watakaokupa ushaur wa kumpata,watakua wameshriki kutia doa ndoa ya jiran yako,wewe unataka cha mwenzako kwan wengne hawapo? Mwenzio juz kacharagwa viwembe vya uso,acha tamaa na usikute unalipa tu vizur,ila vitamaa vinakusumbua,au huwa hujisikii mnyegeresho unapokua na bwana mpaka uchukue mume wa mtu? Tena hata husikii uzito kuposti thread kama ii? Just be fair wewe ndo ungekua mkewe af ujue mwanamke mwngne anamtega unge feel aje?

Duh! Kuna mwingine alifekwa titi moja baada ya kukutwa na mume wa mtu.
 
:twitch: mbona waangaika na samaki alokwisha vuliwa, ilhali wapo wengi tu baharini? umezoea vya wenzio...ufahi kabisa ndani ya jamii!
 
Mi nakushangaa sana wewe NOT ENOUGH hivi kweli mpaka ujigonge kihivyo kwa huyo mume wa mtu inakuwaje? Inawezekana wewe ni mchunaji tu sasa umeona labda jamaa anafanya kazi sehemu nzuri ndiyo maana unajitia kumind kumbe umemind fedha zake tu! Mimi nijuavyo asilimia kubwa ya waume za watu wanaopendwa nje ya mahusiano yao ni kwa sababu ya mkwanja na hao wanawake hujiridhisha kuwa wanaweza kuhudumiwa bila shida toka kwao.
Kuwa mume wa mtu halafu uwe kapuku kisha omba mchezo nje tena na mtu anayekujua kama hujaambia huyo mkeo hakutoshi?
Nina shaka na wewe kuwa ni mtu wa kupenda mastarehe na upo tayari kwa mtu yoyote yule.
Acha ujinga, mume wa mtu sumu wewe.
mhhh dunia imevaa bukta:embarrassed:
 
Na wanawake wenzako watakufanyia waliomfanyia huyu
 
Last edited by a moderator:
Na wanawake wenzako watakufanyia waliomfanyia huyu

Bora na huyo alitoka salama,akihama mji aibu inapungua.....kuna mama mtaani kwetu alimtumia hawara ya mumewe vijana wakamuua,kuna watu wana roho mbaya kuliko ya kwako kutaka kuiba mume wa mtu,huwezi jua mwenzio kampataje au kafikaje nae hapo......in short,ikimbie hiyo tamaa,itakuangamiza,utakuja jihurumia mwenyewe,umesema mi naku-mind but nakutakia tu mema,na pengine nina uzoefu......
 
huyu alomuua mwenzie kafika mbali,unaua kisa nini kigozi na nywele au?
 
Kama nia yako sio kuongeza post tu punguza tamaa!Kama ni mume si utafute wakwako?Hata aibu huna?Mpaka unajilengesha!Uzuri huyo mwanaume sio mapepe kama wewe!
 
Kama nia yako sio kuongeza post tu punguza tamaa!Kama ni mume si utafute wakwako?Hata aibu huna?Mpaka unajilengesha!Uzuri huyo mwanaume sio mapepe kama wewe!

Aise tusaidieni, watu wengine wameumbwa kuvuruga ndoa za watu. Vijana kibao hawajaoa kazi kutoa macho kwa waume za watu
 
Du dadangu NOT ENOUGH (HUTOSHEKI) hizo thread za EMT zenye attachment na You-Tube naomba uridhike wanaume ni wengi na mitalimbo ni sawa tu, kwani hatamuacha huyo kewe aliyetulia. Mimi mwenyewe nilifuatilia mke wa mtu na nikakuta hamna chochote ni gharama tu za kujitakia na kujitibu hebu badili jina na ujiite ENOUGH tuone km utatamani makombo ya mwanamke mwenzio(wenzako kila siku libeneke ww utahesabu dari usingizi usije)
 
huyu alomuua mwenzie kafika mbali,unaua kisa nini kigozi na nywele au?

Kila mtu ana roho yake,huwezi jua maisha ya watu,kuna wanaume akianza mpango wa kando hakuna kinachoendelea nyumbani......akirudi ni kuoga na kuvaa,kula kilichopo na kuondoka kuna wanawake waume zao ni miungu mtu yao,bila wao wanaona hakuna maisha na mbaya zaidi walikuwa wagonjwa so it was an experince of a life time kwa kweli....sitasahau....we ukijiona unaweza iba mume wa mtu ujue wapo wanaoweza kukutoa roho wabaki na nywele na kigozi!!!!
 
Kama una mkwanja geuka sugar mumy kamata mayanki wavivu kufanya kazi mtaani kwako au mtaa wa pili uwe unamuhonga anakupa raha. Kwakuwa kazi yake itakuwa ni hiyo hiyo tu atakutumikia vema utasahau wanaume wa wenzio. Kama hauna mkwanja utajiju...
 
Nawapongezeni wadada kwa kulivalia njuga hili suala kuokoa heshima ya mwenzenu na ndoa yake. Kusema kweli pamoja na ukiwembe wetu wanaume, lakin mazingira mengine tunalengeshewa. Naamini huyo jamaa atafanikiwa kushinda kishawishi. Najua zipo mbinu wakiamua kutumia wadada, ni wanaume wachache sn wanachomoka.
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

nimekustukia, ni mimi na niko humu JF. kumbe ndio maana huwa unajifanya kutaka kuwa karibu na mimi. kumbe ulikuwa unanitaka. sasa si ungeniambia tu toka siku zile kuliko kukaa unaumia rohoni? anyway...ni PM tumalizie mambo ote humuhumu bila wife kujua. karibu sana
 
Tobaaaa
 
yukoje?maana inaweza kuwa ndio mimi natoka kidogo kama wasifu unaoutoa ndio wenyewe basi nitarudi tena hapa tuyamalize
 
Kwani wanaume wameisha hadi umtamani mume wa mtu? Achana na mawazo hayo utaharibikiwa!
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

wewe si ulikuwa na tatizo la kupenda ngono daily sasa ulifikia wapi?
 
Back
Top Bottom